The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Hapana mkuu tupambane tu hakuna namna, hii ni nchi yetu hakuna nyingine tunayoweza ku brag hata ikitokea ukabadili uraia but the motherland will always stay as the motherland, kiukweli Magu alirudisha uzalendo wa Watz kwa nchi yao, tulikuwa tunajisikia fahari mno kuona rais wa TZ anazungumziwa mpk ulaya na kwamba wazungu wanatoka kwao wanamfata mkuu nyumbani kwake Chato, ila mkuu Joto amini kwamba ktk viumbe vilivyowaumiza Watz kwa kufariki kwake basi ni Magu, Watz wameumia sn sn sn na kifo cha Magufuli, hakuna siku ikapita bila kumsikia mTz akiongea jinsi alivyoguswa na kifo cha Magufuli.Mimi nilikua simpendi Kikwete kutokana na uongozi wake, kabla ya Magufuli sikuwa mzalendo, Magufuli ndiye aliyerudisha uzalendo wangu kwa Tanzania, sasa najiona kurudi kulekule kuungana na wasiowazalendo, very unfortunate indeed.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kipindi kile halichaguliwa na akina mkapa hakuwa na maamuzi na ndio waliomuweka madarakani yeye chaguo lake lilikua kijazi awe makamu wake ila ndo hivyo wote wamesepaPia mkuu joto la jiwe kuna msemo ulisema leo kwamba Magu anapaswa alaumiwe kwa kutuachia "huyu" hata mm niliwahi kumwambia jamaa yangu kwamba namlaumu sn Magu kwa nn asingechagua mwengine mana unapokuwa president lazima uijue katiba inasemaje, ss unapochagua msaidizi ujue kwamba km itatokea Bahati mby juwa kwamba msaidizi wako lazima akurithi, lkn wkt mwingine nikajisemea kimoyo moyo kwamba Magu naye ni binadamu, huwa tunajipa moyo kwamba kifo ni kwa ajili ya wao co mm, km ni mm basi ni baadae sn, lkn pia nahisi alihofia kuleta mtafaruku ndani ya chama.
Unamchagulia watu wa kufanya nao kazi wewe kama nani? Kwani lazima Bashiru awepo ikulu au Jaffo awepo Tamisemi au kumuonya kunaondoa mamlaka yake ya kumtoa hiyo wizara.Jaffo alimuonya na kumpa muda wa kujirekebisha, mbona asisubiri kuona kama atajirekebisha, kama amedhani hana uwezo wa kujirekebisha kwanini asimuache anamuhamisha wizara?, Mwigulu Nchemba hatoshi wizara ya fedha, Bashiru hajaanza kazi kujua uwezo wake, vipi anamtoa?.
Ukweli lazima usemwe, mama hana uwezo wa kuchallenge team iliyopangwa na Magufuli, angesubiri kwanza kuanza na team aliyoikuta. Pili inaonekana anategemea sana taarifa za kuletewa, hana taarifa kamili za nchi.
Ngoja tuone, ila sioni kama atatufikisha tunakokwenda kwa kasi na hari iliyopo, viatu vya Magufuli ni vikubwa sana kwakwe, huyu mama uongozi wake hautofautiani na Kikwete.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Sio kweli kaka, katiba ya nchi inalazimisha kwamba lazima makamu atoke upande wa Pili wa muungano.Kipindi kile halichaguliwa na akina mkapa hakuwa na maamuzi na ndio waliomuweka madarakani yeye chaguo lake lilikua kijazi awe makamu wake ila ndo hivyo wote wamesepa
Hii ngoma ngumu,tutegemee mwakani mwezi wa 6 maana kazi iliyopo pale buguruni kuja huku gongo la mboto,sidhani kama itaweza kamilika miezi 6 labda itokee miujizaIt’s April. Treni za umeme inabidi ziwe njiani kwa sasa!
Mkuu joto la jiwe usijibu hii achana naye.Unamchagulia watu wa kufanya nao kazi wewe kama nani? Kwani lazima Bashiru awepo ikulu au Jaffo awepo Tamisemi au kumuonya kunaondoa mamlaka yake ya kumtoa hiyo wizara.
Unaposema anategemea taarifa za kuletewa kwani mfumo unafanyaje kazi, kuna Rais duniani anayeenda kutafuta taarifa? Au wewe unataka taarifa za kimbea ndio aziamini na sio ripoti za wataalam.
Kusema hatotofautiana na Kikwete maana tunaenda kuzuri kama akikwepa mapungufu yake lakini kuelekea kwa Magufuli ni kwenda kutupoteza kabisa(subjective opininion just like yours)
Uyo mfuasi wa kigogo achana naeMkuu joto la jiwe usijibu hii achana naye.
Anachoniuzi mm ni kwamba hajiamini na id yake, huwa anabadili badili ili kutafuta attention zen anarudi ktk uhalisia wake yn huyu ni snitch wa another level.Uyo mfuasi wa kigogo achana nae
Siwezi kumjibu.Mkuu joto la jiwe usijibu hii achana naye.
Umepotea mkuu.
Nipo bro nilikua kidogo na shughuli lakini nipo bro kueni na amani mwenyekiti wenu nipo salama na nipo imaraUmepotea mkuu.
Asante sana, unajua wewe na Geza Ulole comment zenu zina impact kubwa kwenye huu uzi, ss ukianza kujibishana na mpuuzi km huyo watu watashindwa kuelewa.
Mkuu tunakutegemea sn.Nipo bro nilikua kidogo na shughuli lakini nipo bro kueni na amani mwenyekiti wenu nipo salama na nipo imara