Huwa nafuatilia sana mambo haya ya majabali haya mawili.Nimeanza kuiogopa uchina. Hio video ya high speed rail imeniogopesha.
Uboss wa kisiasa ni timing tu mkuu,ndio maana uwa wanahamasishana huko siasani usimdharau wa chini yakoMwigulu hamzidi Mpango, alikua boss wake kwakua Mwigulu aliingilia kwenye Mlango wa siasa na kuwa Waziri. Ila kwa sasa, Mpango ndio Boss wake na kamzidi kwa kila kitu na hana budi kusikiliza maelekezo.
Hakuna nchi duniani yenye ndege nyingi kama Marekani, Delta pekee ni ya tatu duniani kwa kuwa na ndege nyingi. American airlines ndiyo inayoongoza kuwa na ndege nyingi dunianai.China wako juu sana aisee!!!
Tuje kwenye airlines (Hizi zina operate most ndani ya China)
Airline Fleets Air China 447 China Eastern Airlines 579 China Southern Airlines 622 Hainan Airlines 221 Shanghai Airlines 96 Shenzhen Airlines 195 Sichuan Airlines 168 XiamenAir 169
Hebu tuweni wakweli katika hili. Kuna mtu anaweza kuweka Mashirika ya ndege ya Marekani na ndege zake!?
Ukweli ni kwamba USA iko juu sana kwa ss ila China inakuja kwa kasi ya 3×10⁸ m/s na haitochukua muda kabla ya China kuwa super power na hili mm na ww tutalishuhudia wala co wajukuu zetu, tuombe uzima tu.Hakuna nchi duniani yenye ndege nyingi kama Marekani, Delta pekee ni ya tatu duniani kwa kuwa na ndege nyingi. American airlines ndiyo inayoongoza kuwa na ndege nyingi dunianai.
100% na ndiyo sababu kuu ya zile figisu za Trump, speed ya hawa jamaa inatisha na haijawahi kutokea kwenye historia ya dunia.Ukweli ni kwamba USA iko juu sana kwa ss ila China inakuja kwa kasi ya 3×10⁸ m/s na haitochukua muda kabla ya China kuwa super power na hili mm na ww tutalishuhudia wala co wajukuu zetu, tuombe uzima tu.
Wikipedia pages also have citations you know? You can easily find reliable data/information from them. Kama hutaki wikipedia basi soma hiiAchana na Wikipedia kaka.
Wikipedia karibia zote kuhusu Tanzania zinaeditiwa daily na Wakenya, ukisoma unaweza dhania Kenya ni bonge la nchi na Tanzania ni nchi ya crime kama Somalia.
Huyu hapa mkuu,yaani huyu dada ananivutia kinoma kwa ma news anchors kike wa huko kwenu,sijui naeza mpataje?Anaitwaje?
Huyu huaga simuelewi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kibera na tandale wapi na wapi?🤣🤣🤣Kwahiyo unataka kufananisha Kibera na Tandale, serious?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
yule bonge nn?[emoji23][emoji23][emoji7].. katikat kichwan anasuka ila pemben ananyoa punk?
Huyu hapa mkuu,yaani huyu dada ananivutia kinoma kwa ma news anchors kike wa huko kwenu,sijui naeza mpataje?
View attachment 1740805View attachment 1740806View attachment 1740806
kuna msela Arusha alimuoa halafu akam-dump! anavutia..nilijua unasemea huyu mkuu
huyu dada ni bonge lkn nikimwangalia sura yake ananikosesha usingizi [emoji7][emoji7][emoji7]
View attachment 1740815View attachment 1740816View attachment 1740817View attachment 1740818
nimemjulia twitter
wakazi wa Mombasa wanapitishwa darajani kwa lazma yaani ferries zimesimamishwa!ohoo[emoji23][emoji23][emoji23]yamekua hayo tena?
komora096
35Floo ngapi hii mkuu