The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Kwahiyo unataka kufananisha Kibera na Tandale, serious?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kibera sio kijiji na wala hakuna anayepamiliki kw taarifa yako..
Unafikiria kibera nkm tandale watu wanajimilikia upupu mjini
Achana na hako ka bi mkora ka Kisauni hapo Mombasa. Hakana jipya kamezoea maneno ya kwenye kanga tu!Kwahiyo unataka kufananisha Kibera na Tandale, serious?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anaitwaje?Aise,huko kwenu kuna mdada mmoja hivi mzuri ananivutia sana!
Sama boy, Uchina wako vizuri kwenye mambo fulani fulani kwa mfano high speed rail.Nimejaribu kukuelewa sana bro, lakini napata ukakasi na maswali mengi ambayo nakosa majibu yake, kweli US ina watu wachache kulinganisha na China, na inasadikika inakipato kikubwa, sasa je inakuwaje kuna namba kubwa ya watu hawana makazi.? Inakuaje vitu vikubwa (New technology and innovation) vinafanywa na mchina.? Hata magari wanayotumia mostly they are importing from Asia (China and Japan).? Hata tu muonekano wa taifa (majiji) lao ni mbaya kulinganisha na China.? Au ni nini maana ya kujitosheleza.? Kuwa na hela sindio kuijali vyema familia.? Why a larger number of homeless people in US.? Au ni uongo tu tunadangaywa kwamba they are good alaf sio kweli.? Pesa ni pembe la ng'ombe ukiwa nazo lazima zionekane. Kwani hiyo miradi mikubwa zaidi duniani China si wanatumia hela kuitekeleza.? Kwanini US hawawezi kutekeleza miradi kama hiyo.? Au wakonayo tayari.? . Nisaidie majibu bro . Kuhusu US aids ni propaganda tu, wao ndio hawewizi kuishi bila sisi (nimesoma history ya dunia, kuna sub topic kwenye topic fulani, inaitwa Structural adjustment program SAP na maelezo ya how it was implemented na ni kwanini, ndio nikajua kuwa sisi waafrica hatuwahitaji wao Ila wao ndio wanatuhitaji sisi ) nenda kasome middle East crisis utaelewa tu kwanini US aids
watoto wa mjini wanasema "mambo n bullbull[emoji23][emoji23][emoji23]Mambo[emoji3059][emoji3059]View attachment 1740572
This is the best thing I've seen todayKichina kinaendelea kupamba moto TZ
View attachment 1740509
Nimeanza kuiogopa uchina. Hio video ya high speed rail imeniogopesha.Nimejaribu kukuelewa sana bro, lakini napata ukakasi na maswali mengi ambayo nakosa majibu yake, kweli US ina watu wachache kulinganisha na China, na inasadikika inakipato kikubwa, sasa je inakuwaje kuna namba kubwa ya watu hawana makazi.? Inakuaje vitu vikubwa (New technology and innovation) vinafanywa na mchina.? Hata magari wanayotumia mostly they are importing from Asia (China and Japan).? Hata tu muonekano wa taifa (majiji) lao ni mbaya kulinganisha na China.? Au ni nini maana ya kujitosheleza.? Kuwa na hela sindio kuijali vyema familia.? Why a larger number of homeless people in US.? Au ni uongo tu tunadangaywa kwamba they are good alaf sio kweli.? Pesa ni pembe la ng'ombe ukiwa nazo lazima zionekane. Kwani hiyo miradi mikubwa zaidi duniani China si wanatumia hela kuitekeleza.? Kwanini US hawawezi kutekeleza miradi kama hiyo.? Au wakonayo tayari.? . Nisaidie majibu bro . Kuhusu US aids ni propaganda tu, wao ndio hawewizi kuishi bila sisi (nimesoma history ya dunia, kuna sub topic kwenye topic fulani, inaitwa Structural adjustment program SAP na maelezo ya how it was implemented na ni kwanini, ndio nikajua kuwa sisi waafrica hatuwahitaji wao Ila wao ndio wanatuhitaji sisi ) nenda kasome middle East crisis utaelewa tu kwanini US aids
Floo ngapi hii mkuu
Aise,huko kwenu kuna mdada mmoja hivi mzuri ananivutia sana!
China, japan na Korea kusin wapo vizur kwenye miundombinu na teknoljia ila mmarekani ni mwekezajii tuu saivii kabakia muongeajii tuu kwenye innovation kazidiwaNimeanza kuiogopa uchina. Hio video ya high speed rail imeniogopesha.
Kwamba anazindua huo utopolo au [emoji1787][emoji1787][emoji1787]sisemi kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ooh [emoji27]sorry...View attachment 1740644
Mwigulu kishakua boss wa mpango nyakati za jk,mwigulu mchumi mzuri tu sema aache kutanguliza siasa apige kazi
Eee tandale kw tumbo[emoji23][emoji23]Kwahiyo unataka kufananisha Kibera na Tandale, serious?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaonyesha mzee baba madanguro ya kisauni yalikuosha sio bureAchana na hako ka bi mkora ka Kisauni hapo Mombasa. Hakana jipya kamezoea maneno ya kwenye kanga tu!
We pia waujua huo msemo[emoji23]watoto wa mjini wanasema "mambo n bullbull[emoji23][emoji23][emoji23]
Pro USA wataendelea kupiga kelele. China ipo mbali mno.Sama boy, Uchina wako vizuri kwenye mambo fulani fulani kwa mfano high speed rail.
Aisee wachina ni mashetani kwenye hii sector. Hawachezi. Wanamiliki 2/3 of the world's high speed rail network.