Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usiniletee stress za ujobless.
Usiniletee stress za kufungiwa ndani kama kuku.
 
Rais Samia amefanya decision nzuri kumchagua VP wake awe Dr. Mpango. Huyu mtu nadhani atahakikisha kwamba miradi zote za JPM zilizoanzishwa kama JNHPP, electric SGR, BRT phases zilizobakia, port expansions, powerline constructions na kadhalika zitakamilika maana anaelewa umuhimu wa miradi hizi katika uchumi wa Tanzania. Miradi hizi zitakuwa na positive impact kwa uchumi wa Tanzania.
 
Usiniletee stress za ujobless.
Usiniletee stress za kufungiwa ndani kama kuku.
Jitume wacha uzembe siku zote, jaribu kutumia angalau 0.005% ya akili zako. Just try uone matokeo, utafurahia😂
 
Jitume wacha uzembe siku zote, jaribu kutumia angalau 0.005% ya akili zako. Just try uone matokeo, utafurahia[emoji23]
Natumia 0.005% ya akili yangu lakini nina kazi nzuri, mambo yanaenda vizuri...yaani nilimaliza tu chuo mwaka huo huo nikapata job, sikuangaika kwenda interviews [emoji23][emoji23][emoji23]

Can you imagine ningetumia 1% ingekuwaje?

Shukurani jamiiforums ya kuja kujipea matumaini ipo la sivyo mngesha commit suicide kitambo.
 
Indeed🤣😂😂., pia mimi nimeona.🤣😂😂 Kweli kweli Kaka😂😂, Hadi raha🤣😂😂
 
Wewe ni mtanzania wakujielewa,
 
Anaoza sa hii [emoji23]
Shida iko wapi? Kwn uliambiwa wewe utakuwa hufi? Alikufa bibi yako itakuwa Magu, tatizo mlilonalo Wakenya ni wivu juu ya viongozi bora wa Tanzania na maendeleo tuliyopiga kwa ujumla, ishu co Magu kufa ishu ni elimu tuliyonayo imetusaidia Watz kupata viongozi bora na wenye maadili, na kwa taarifa yako Magu hayuko pekeake bali tunao wengi wa namna yake, so mtajiumiza bure kwa chuki mlizonazo badala mpambane na nchi yenu juu ya viongozi dhalimu na wala rushwa waliojaa huko kwenu.

Niwape ushauri ni kwamba badilisheni mfumo wa elimu mana elimu yenu inamjenga mkenya kusujudia wazungu na sio kupigania Kenya.
 
Wakenya wenzako hawapendi bwana Tony254 wataku report GoK wakuvue uraia, eti wanasema ukiongea positivity juu ya jirani ni hypocrisy [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakenya wenzako hawapendi bwana Tony254 wataku report GoK wakuvue uraia, eti wanasema ukiongea positivity juu ya jirani ni hypocrisy [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂 mumepata kipenzi chenu, hongera sana👉👉💩💩
 
Wakenya wenzako hawapendi bwana Tony254 wataku report GoK wakuvue uraia, eti wanasema ukiongea positivity juu ya jirani ni hypocrisy [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uraia wangu hauwezi kuvuliwa hata na serikali ya Kenya. Mimi nilizaliwa Kisumu county na kukulia Nakuru county na sasa nafanya kazi Nairobi county kwa hivyo mimi ni Mkenya halisi. In fact katiba yetu mpya ya 2010 inaruhusu Mkenya kuwa na uraia wa nchi mbili. Ile katiba ya zamani ndio ilikuwa inazuia Mkenya kuwa na uraia wa nchi nyingine. Sasa hivi tuna Wakenya wengi ambao wana uraia wa nchi mbili.
 
Tuwe na wivu na nchi amabayo
1.lmelemewa na ukabila
2.watu wanakufa njaa
3.Failed state ambayo nchi jirani zinamega vipande vya ardhi huku mmejikunyata,hata nchi hovyo kama Somalia inawanyang'nya sehemu ya nchi yenu alafu mnalialia!
4.Nchi inawapigaji kuanzia Rais,mpaka sub-chief!
5.Hadhi na utu wamkenya unatokana na kabila lake,na sio uraia wake,hovyo sana!
Tanzania sio nchi ya kujilinganisha na Kenya kwa lolote,tena futa kabisa hilo wazo, yaani ww na machoko wenzio ndio mna mawazo ya kizamani kuhusu Tanzania 🇹🇿,Uhuru wa habari unaoongelea humu ni upi?Watu wangapi wamekamatwa na hata kuuwawa huko kwenye kainchi kenu ka hovyo kwa kutoa habari zinazohisu Rais,au serikali,nyani haoni kundule lake.
Tumeisha waambia humu JF mtaje mambo ambayo mmeizidi Tanzania 🇹🇿,mmebaki na GDP ya kupika,jinga Sana ww!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…