Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,268
- 107,908
desperation of the highest order! Imagine a newspaper covering events of a neighboring country as their headlines day in day out as if they don't have news at home to be covered yet the GOK has taken another loan from IMF! That's trolling and desperation from Mumbis!
Ingekuwa imetokea Tanzania ungeona namna watakavyo shadadia kwenye media zao hadi zile za kikabila kama Kameme Tv, Inooro Tv nk.MP wao akifa kwetu sio habari, ngoja wafe wetu sasa watakavyoshadadia
GDP is not a correct measure of country development.Mkuu kabla hujajibiwa nikuulize swali kwani kati ya hao miaka mitano nyuma mpaka sasa 2021 nani anaongoza kwa GDP Coco reborn
Sasa hivi nikiona hotuba zake tu kwenye TV,nabadilisha channel haraka nisiumie!We acha tu kaka huwa sipendi kusikiliza hotuba zake mana roho inaniuma sn nikimfikiria huyu mzee, yn kaniuma sana sana cjui kwnn yn, mpk leo nimekuwa hata mitandao sioni raha kabisa mana kila nikifungua nakuta Magu Magu Magu.
Kaniuma sana Magufuli, napitia kipindi kigumu kweli kweli ila taratibu nmeanza kuzoea lkn daahh tupeane support tu wakuu.
😃😃😃Vigagula!
Huyu jamaa Tony254 ni open minded Sana,Jana tu alikuwa anatukanwa na vigagula flani kutoka huko kwao kwamba anajipendekeza Wakati anasema ukweli,hata 24hrs hazijaisha, media zao zimelenga mlemle kuhusu Tanzania 🇹🇿,Sasa wale machoko watasema na hiyo media ni Tony254!?.Kumbe wakenya uwa mnatamani maisha ya TanzaniaView attachment 1739090View attachment 1739091View attachment 1739092View attachment 1739093
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Tatizo Kenya hawana content yeyote Ile wamekaa kazi kufatilia Anga za Tanzania Kwanzia entrainment, lifestyle na politics unajua mwanzoni walikua wanajiona Bora Sana Ila magu aliwanyoosha pamoja na viburi vyao🙄Ingekuwa imetokea Tanzania ungeona namna watakavyo shadadia kwenye media zao hadi zile za kikabila kama Kameme Tv, Inooro Tv nk.
Pia kule twitter ingeshaingia trending in Kenya namba 1.
Magu was right indeed tutamkumbuka daima genius wetu forever in our hearts.akumbukwe marehemu Rais Magufuli
Hawa jamaa kwakweli ni ******* sn yn hawana msimamo wanayumbishwa na upepo, huwa najiuliza ilikuwaje wakatuzidi GDP hawa? Ni Watz wa aina gani walikubali kupitwa na mapunga km haya?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nye nye nye
Ukweli ni kwamba News za Tanzania zina mvuto zaidi Kenya kuliko news za Kenya, wakenya na waafrika wengi kwa sasa wanafuatilia taarifa za Tanzania kuliko nchi yoyote hapa AfricaTatizo Kenya hawana content yeyote Ile wamekaa kazi kufatilia Anga za Tanzania Kwanzia entrainment, lifestyle na politics unajua mwanzoni walikua wanajiona Bora Sana Ila magu aliwanyoosha pamoja na viburi vyao[emoji849]
Hawa jamaa kwakweli ni ******* sn yn hawana msimamo wanayumbishwa na upepo, huwa najiuliza ilikuwaje wakatuzidi GDP hawa? Ni Watz wa aina gani walikubali kupitwa na mapunga km haya?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa jamaa kwakweli ni ******* sn yn hawana msimamo wanayumbishwa na upepo, huwa najiuliza ilikuwaje wakatuzidi GDP hawa? Ni Watz wa aina gani walikubali kupitwa na mapunga km haya?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
BTW how far sure r we kwamba Uhuru alichoma Astra Zeneca vaccine?naibu rais wao anaipigia chapuo ile vaccine ya urusi.. serikali inaipigia chapuo hio AZ.. yan hawa watu kila kitu ni fursa kwao..