Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Safi sn, jamaa nina historia yake fupi ni mtu poa sana pia hana makuu na sio mbadhirifu na ni muaminifu mno.

Kuna jamaa yangu aliniambia Mpango vp hafai? Nikamwambia anafaa ila sioni kama atapewa yeye but ndio imekuwa hvyo yn safi kabisa, anajua kuishi vzr na watu ofcz namkubali sana.

Ni mbahili JPM akasome [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa hiyo mkeka wa yule mwanaharakati mwenye chuki binafsi kule twitter umechanika [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naomba sana ile ya Mh kutembea na hela na kusaidia wananchi, na kutatua kero za wenye shida isikome, hela zipo ni kwa ajili ya wananchi km hao. Hawa ni wote ni watu wa Mungu, hivi we unamuonaje mtu anayewajali watoto wako? Lazima utampenda. Hayo mambo ni baraka kwa nchi yetu, natamani hiyo iendelee.
 
Kama vile Mh Rais mama Samia anapitaga humu vile!!







MY TAKE
again asikosee kwenye uteuzi wa Waziri wa Fedha na Mipango achaguliwe Mchumi na mwenye track record!



CC: Tony254
Geza unaonekana umeshinda betting ya kwanza ya VP.. sasa ebu bashiri nani anaweza pewa iyo wizara ya fedha maana.. ni moja kati ya sensitive ministries
 
Ur right mkuu.. hongera kea kuwa muwazi
 
Ur right mkuu.. hongera kea kuwa muwazi
Hapana hii bro Tony254 katoa boko. . Take a look hii ni BRT system ya cape Town pekee . N remember wao wanazo BRT system in more than one City,so their system is the best in Africa,alaf labda sisi ndio tunafuatia, hao wa West Africa ni uchafu hawatuwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…