Hii Sasa ni shida SADC
Rwandair ikipartner na Qatar airways itakuwa a major airline in Africa. Africa kwa sasa ina only three major airlines na Rwanda itajoin hii group. Lakini Rwandair haiwezi na haitawahi kuipiku Ethiopian airlines ambayo ina ndege zaidi ya mia moja na inaenda to more than 100 destinations. Ethiopian airlines ni a very serious airline na sio airline ya kuchezea. Rwandair haiwezi kuifikia Ethiopian airlines
Rwanda very soon watateka soko la Africa mambo mengi yanambeba kumpiku mu Ethiopia
Unacho kitafuta utakipata soon🙂naskia marehemu alipenda sana kupiga kuni asubuhi😬😬🏃
Huyu ***** VP🤣🤣🤣🤣aliwahi kukuomba au??
Rwanda very soon watateka soko la Africa mambo mengi yanambeba kumpiku mu Ethiopia
naRwandair ikipartner na Qatar airways itakuwa a major airline in Africa. Africa kwa sasa ina only three major airlines na Rwanda itajoin hii group. Lakini Rwandair haiwezi na haitawahi kuipiku Ethiopian airlines ambayo ina ndege zaidi ya mia moja na inaenda to more than 100 destinations. Ethiopian airlines ni a very serious airline na sio airline ya kuchezea. Rwandair haiwezi kuifikia Ethiopian airlines
Rwandair ikipartner na Qatar airways itakuwa a major airline in Africa. Africa kwa sasa ina only three major airlines na Rwanda itajoin hii group. Lakini Rwandair haiwezi na haitawahi kuipiku Ethiopian airlines ambayo ina ndege zaidi ya mia moja na inaenda to more than 100 destinations. Ethiopian airlines ni a very serious airline na sio airline ya kuchezea. Rwandair haiwezi kuifikia Ethiopian airlines
We bonga unavyotaka kubonga lakini nikwamba ukiongea upumbavu tuna kupa live tu. Na atakama tunataka kuzaa we inakuhusu nini? Unataka uzae wewe auMna papara utafikiri mnataka kuzaa!
Kwanini Kwa sababu Naona mama Samia kama Yuko seriuosWashkaji hii nchi ina mambo mengi sana yanayoendelea nyuma ya pazia,in short ni kwamba mafisadi yameshinda sasa tunarudi kulee kwa wapigaji,na hao wapigaji hawatoki mbali bali mulemule ccm,jamaa walimchukia sana mzee pombe kwa kuwabana,now wamerejea kwa kishindo
Vitisho baridi.Unacho kitafuta utakipata soon🙂
Download DewVPN hautajuta.Wakuu VPN nzuri free isio na mambo ya registration ni ipi, hii niliyonayo full miyeyusho ads kama zote inakata kila baada ya dakika 2
Tujipe muda tutyaona tu kama yapo. Bahati nzuri Magu ametufungua watz wengi kwa hiyo kama mambo yakienda hovyo ni rahisi sana kujua maana Magufuli ni kama ametuwekea standard ya utendaji na uwajibikaji wa viongozi wa umma. Huyu mama atakukuwa judged against the magufuli standard!Washkaji hii nchi ina mambo mengi sana yanayoendelea nyuma ya pazia,in short ni kwamba mafisadi yameshinda sasa tunarudi kulee kwa wapigaji,na hao wapigaji hawatoki mbali bali mulemule ccm,jamaa walimchukia sana mzee pombe kwa kuwabana,now wamerejea kwa kishindo
Unapingana kwa data zipi? Hapa sio mahala pa kuleta maneno vya kijiweni. Leta evidence. Sio kuongea tu. Watawapiku kwa idadi ya ndege au idadi ya abiria au kwa idadi ya destination au kwa jambo lipi? Fanya research kabla uje hapa kuongea.Wakipartner na
na
Wakifanya partnership na Qatar watawapiku trust me
kanchi chenye airport mbili tena moja ndo inajengwa! Kanachotegemea third right permits to pick up PAX from neighbors! ngoja tuone..Unapingana kwa data zipi? Hapa sio mahala pa kuleta maneno vya kijiweni. Leta evidence. Sio kuongea tu. Watawapiku kwa idadi ya ndege au idadi ya abiria au kwa idadi ya destination au kwa jambo lipi? Fanya research kabla uje hapa kuongea.
Watu mbona mnakubali kuishi chini ya dictatorship? Mbona mnakubali kufungiwa mtandao kana kwamba mnaishi North Korea? Sisi huku tunaingia kwenye mtandao bila kutumia VPN. Nataka kuwacheka ila nahisi huruma. Udikteta kama huu wa CCM mnastahili kuukataa kabisa.
Wakuu VPN nzuri free isio na mambo ya registration ni ipi, hii niliyonayo full miyeyusho ads kama zote inakata kila baada ya dakika 2
Mzee ilinichukua muda sana kuamini, sometimes I thought naota hivi then I will wake up na nione ni skmulizi tu ndotoni jamaa yuko imara..I miss you JPM, I spent more than a half an hour looking at this picture I don't know why.
I wish leo ungepokea ile report, kuna maneno yako huwa unayaongea ambayo huwa husomi sehemu yanatoka kichwani na hukosei, mic u dady [emoji24][emoji24]View attachment 1737226
Sent using Jamii Forums mobile app
CC: Tony254 umeona hii au unajibaraguza JPM awe hai au awe katutoka projects ni "aluta continua"!Update: mv Mwanza Hapa Kazi Tu