magufuli was the anti corruption president but he let this guy stay in office? Now samia is suspending him for corruption.Wewe pumbavu kweli! Ungejua Samia ni mtu wa JPM usingeongea umavi namna hii! Endelea na siasa zenu za ukabila!
wewe ni mpuuzi wa wapi kwani mama Samia si part ya Awamu ya tano? wacha kupotosha hebu muache afanye kazi yake!Kuna watu wanasikia raha masuala ya wizi na rushwa yanavokuwa ndio headlines, bila kujua kwamba kuna vitu vingi tunavikosa kwa huu wimbo, Nampongeza mama lkn wale wapinzani wanataka kutumia hii km mbinu kutuanzishia kutuaminisha kwamba utawala uliopita ulikuwa nao una ubadhirifu sana. Huu ndio wimbo unaoiua Africa yetu, cha msingi hapo kuna vitu huwa havihitaji hesabu za mbali sana ila ni hesabu simple tu, Mf, Hata umpe mtu hela akujengee nyumba hapa bado kuna jero atakunywa maji tu, sasa wapinzani wanataka tuuimbe wimbo wa rushwa wee mpaka miradi mingine wasite kuja kwasababu hiyo. Wakufanya nchi ionekane safi ni sisi na wakufanya ionekane chafu pia ni sasa, Hapa Nampongeza sana Mh. Magu maana mkumbuke hili,
ILI KUONDOA RUSHWA AU WIZI NA UVIVU WE ZUNGUMZIA KUCHAPA KAZI TU.
ILI KUONDOA UJINGA ZUNGUMZIA ELIMU,
ILI KUONDOA HOFU ZUNGUMZIA UJASIRI,
ILI KUONDOA UADUI ZUNGUMZIA WEMA,
Sasa mkitaka turudi kule kwenye Ufisadi na Ubadhirifu tunajikaanga sana, nazungumzia kwa Wapinzani naona shauku yao ndio hiyo sana.
Lkn kwa aliye kwenye dola huo kwake niutekezaji safi sana.
Chizi yule achana naye.Kuna mtu naona kaanzisha uzi ujenzi wa daraja la busisi Raisi ausimamishe, kwa maelezo yake anadai hauna faida.
Kilichomuua Magu nahisi ni ugonjwa wa sonona, alikuwa kwenye depression kubwa alafu ukizingatia ni mgonjwa wa moyo so ikawa hakuna namna.Ile propaganda ya kusema Magu kafa kwa covid imepigwa mweleka na mambo yote yaliyofanyika kwenye msiba
Hana lolote maono yananiambia hana lolote.Mara nyingi sana huwa siwaamini viongozi waongeji sna linapokuja kwenye utendaji kazi. Huyu jafo japo anajitanabahisha kuwa mpambanaji lakini huwa sina trust sana naye. Yupo kisiasa sana kuliko kiutendaji na uajibikaji.
Atoe japo tamko kuhusu ujenzi holela, je we unapenda huu ujenzi wa kipumbavu unaoendelea hapa nchini hasa Dar? Km hupendi je nani anayepaswa japo kukemea ujenzi wa aina hii km co waziri mwenye dhamana.Accountable kivipi? Ndio maana nikasema kwenye ardhi utakuta kuna matatizo lakini ukitrack back unakuta hilo kosa lilifanya hata wakati wa awamu ya pili au ya tatu sasa hapo utamuwajibisha nani? Kwenye hii wizara ndugu yangu kuna mambo mazito sna kuliko unavyodhani. Labda sema wewe ulitaka afanyeji ili aonekane amefanya kazi? Kuna watu wengine hawana utamaduni wa kijiproud sana wao ni kimya kimya tu.
At least haya mafala leo yameona mwezi ila it's too late tushachelewa.
Mm binafsi Iringa kunanihusu ila siwezi kumtetea waziri mzembe hivi.sema unatokea Iringa basi sio unaanza siasa za kutetea upuuzi wa Lukuvi! Yaani migogoro yote inayorindima ya Ardhi jamaa kwa miaka mitano kashindwa kufukuza kazi maafisa ardhi? hata JPM alisema siku za karibuni mtu kama Lukuvi hawezi kumrithi...
Umejuaje kama mimi natokea Iringa? Ina maana wewe unavyomtetea Jafo unatokea Kisarawe? We pinga au kubali hoja lakini hzo habari za we unatokea wapi tuachane nazo. Kwanza humu hatufahamiani zaidi ya utanzania wetu ndio unatuunganisha.sema unatokea Iringa basi sio unaanza siasa za kutetea upuuzi wa Lukuvi! Yaani migogoro yote inayorindima ya Ardhi jamaa kwa miaka mitano kashindwa kufukuza kazi maafisa ardhi? hata JPM alisema siku za karibuni mtu kama Lukuvi hawezi kumrithi...
[emoji122][emoji122][emoji122]wacha wivu mshikaji mwache Jafo wewe unafikiri kujenga hospitali 92 na vituo vya afya 400+ ni kitu kirahisi enhee? na ukarabati wa shule kongwe? machinjio, stesheni za mabasi na masoko na dampo za manispaa? TARURA? miradii ya maboresho ya miji? kuwa na hati chafu ya halmashauri 8 kati ya 175+ si utendaji mbaya kiasi hicho!
nimekuuliza swali jamaa yupo Ardhi miaka mitano na bado kuna madudu sijawahi kuona akifukuzwa Afisa Ardhi yeyote ni kipi kinakufanya kuona anafaa Umakamu Urais? Au unafikiri Umakamu Urais ni nafasi mchezo mchezo? na kwann apewe mzee kama Lukuvi? kwa lipi haswa?Umejuaje kama mimi natokea Iringa? Ina maana wewe unavyomtetea Jafo unatokea Kisarawe? We pinga au kubali hoja lakini hzo habari za we unatokea wapi tuachane nazo. Kwanza humu hatufahamiani zaidi ya utanzania wetu ndio unatuunganisha.
Kwa hiyo kigezo cha kuwa makamu wa rais lazima uwe umefukuza au kusimaisha watu kazi? Samia, Shein, Gharibu walifukuza au kumsimaisha nani ndio wakaqualify kuwa makamu wa rais? Hata hivyo hakuna mhali nimesema anafaa kuwa makamu wa raisi. Ninavyomjua JPM (RIP) kama Lukuvi angekuwa ha-perform kiasi hicho unachosema wewe angekuwa ameshambua kitambo sana au hata asingerudisha kwenye nafasi ya uwaziri. Mashamba mangapi makubwa ya serikali yamerudishwa kutoka kwa wamilki wasiyoyaendeleza, migogoro na mauaji ya wakulima na wafugaji bado unaisikia kama kipindi cha JK, Kuanzisha ofisi za kand a za ardhi kurahisisha upatikanaji wa hati za viwanja na mashamba, kuwahamisha maafisa ardhi waliokaa muda mrefu sehemu moja ili kuondoa chain ya ufisadi katika ardhi n.k n.k. Sema huyu jamaa hata kama ana mapungufu yake amjitahidi sana ila sio mtu wa kufanya kitu halafu akakimbilia kwenye media. HII WIZARA NI NGUMU HATA HUYOJAFO AKIENDA HAPA NDIO ANAWEZA ASITOBOE KABISA!nimekuuliza swali jamaa yupo Ardhi miaka mitano na bado kuna madudu sijawahi kuona akifukuzwa Afisa Ardhi yeyote ni kipi kinakufanya kuona anafaa Umakamu Urais? Au unafikiri Umakamu Urais ni nafasi mchezo mchezo? na kwann apewe mzee kama Lukuvi? kwa lipi haswa?
Sema wewe unapenda ukabila na ulimfurahia Magufuli sababu hiyo,jamaa hajaonesha chochote kinachoashiria ukabila wewe hayo mawazo umeyatoa wapi na bado mtu anampenda lukuvi unalazimisha ni mtu wa iringa. Mtu kama wewe ni hasara kwa hili taifa. Bado unawaza kukarabati shule kongwa ni mafanikio ya waziri?Wewe pumbavu kweli! Ungejua Samia ni mtu wa JPM usingeongea umavi namna hii! Endelea na siasa zenu za ukabila!
Ngoja soon watamjaribu!Wakenya naona walikua wanaona Samia wangemmudu
Leo chamwino yote hakuna barakoa hata 1