Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu alikuwa Mombasa baada ya kushitukiwa kakimbilia nchi moja ya ulaya. Haka kajamaa kalisoma masters yake pale SUA Morogoro 2005 - 2006 kama sijakosea kidogo. Sema serikali yetu haijawa serious tu kumsaka huyu mtu. Angekuwa bwana slim (Kagame) angemsaka na kummaliza fasta kimya kimya.
 
Kiukweli GoT haiko serious au watu wa usalama hawana weledi, mana sioni mantiki ya kutangaza eti wanamsaka, ilikuwa ngoma iishe kmy kmy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No interchange will rival this one in Kenya. The closet will be MuesumHill after Expressway
Museum hill interchange itakuwa poa but in my opinion, kwa expressway mimi naona kama southern bypass interchange ndio itakuwa wazimu zaidi.




Geza Ulole hii changamwe interchange Mombasa ndio itakuwa the best interchange in East Africa. Tuliza boli hadi mradi uishe. Ubungo interchange itakuwa kama kichekesho.




I love Changamwe interchange.
 
Huyu Musiba naye asitake kujificha kwenye kivuli cha kigogo wakati nayeye ni shuzi linalohitaji mjambaji, yeye mwenyewe anatakiwa apewe haki yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na yeye siku hizi hasikiki nadhani alikalishwa chini na wenye usalama. Hii issue ya kigogo serikali ilishindwa kui-handle kiintelejensia mapema na badala yake wakadili nayo kisiasa sana kitu ambacho kimekuja kuwacost maana sasa imeshajukana kigogo ni nani japo hakuna proof ya moja kwa moja kwa public. Hivyo kwa sasa hii issue ya kigogo serikali inabidi itumie akili kubwa sana kui-handle hasa ukizingatia kwamba huyu kigogo na wenzake wapo nje ya nchi na wanapewa back-up na taasisi za kimataifa.
 
Kwhyo walalahoi wameinuliwa kimaisha na huu upupu
 
Hiyo ni picha ya watu co yenu, changamwe haitokuwa hvyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…