Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehehee huyo ndiye JPM kipenzi cha Watz, mind u hayo ni machache tu kati ya mengi aliyoyafanya kwa kipindi kifupi alichokaa Ikulu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu au wewe ni TISS[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Beautiful streets of Mwanza Tony254 The best 007 ongeanae kwamba Mwanza sio tu iko na barabara za njia nne lakini pia ina barabara safi kuliko za Mombasa
View attachment 1736116
Sasa hii raised median section itasaidiaje mlemavu mwenye baiskeli kuvuka? Haa manispaa ya Mwanza imechemsha imefanya kazi ya juakali kama Kenya inabidi wabomoe na kuiweka usawa na lami hata kama wataweka poles kuzuia watu wa bajaji ila upana wa kutosha mwenye baiskeli ya magurudumu matatu! Chondechonde manispaa za Mwanza!

 
Mitaa ya AlMuntazir kuna maghorofa yamezuka kama uyoga yanabana mto na kuongeza kina kwahiyo yanakwamia pale inabidi liangaliwe ile nafasi ya Estuaries inabidi ilindwe! Sijui NEMC wako wapi?
hiyo nayo ni shida mkuu,,,, ile sehemu ni povu
 
No offence but speak in swahili, you are making a mockery of yourself.
Explicitly, i dont waste my value time over emty skull[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hope this [emoji116][emoji116]belong to you[emoji16][emoji16]
 
Madem wengi wa Kenya wana sura ngumu kama mwanariadha wao Kipchoge. 😀😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…