Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] check on this
Duh!![emoji1787][emoji1787]
Sasa wewe nenda kajaribu kuponda hko twitter uone kitakachokukuta..
Haya yetu ya kuponda nchi hamtoyaweza bora usijichanganye tu jamani, manake ukiingia kumi na nane tu twitter utahama
Wakenya tunajuana wenyewe bana.
 
someni hii.. wameanza kutupa pressure tena.. wameacha kutaja kenya ugonjwa unapoongezeka wanatutaja sis tunaodunda kila siku[emoji23]

mama Samia ana kazi [emoji1438]‍[emoji3603].. asitekeleke nao
Mficha maradhi humuumbua, mie sina la ziada kuhusu hilo
 
Duh!![emoji1787][emoji1787]
Sasa wewe nenda kajaribu kuponda hko twitter uone kitakachokukuta..
Haya yetu ya kuponda nchi hamtoyaweza bora usijichanganye tu jamani, manake ukiingia kumi na nane tu twitter utahama
Wakenya tunajuana wenyewe bana.
Wakenya hamna nguvu ya ku argue na mTz, kuna mikenya huwa naikimbiza kunako you tube mpk raha, Wakenya muandiko wenu unafanana, anavyoandika yosef festo, nicxie, teargass, kafrican, mwathadan na Wakenya wa kule twitter and you tube ni vile vile tu, kasoro wewe na ***** master ndo mko tofauti miandiko yenu inafanana pia upumbavu usio na kikomo.

My take: komora na ***** master kingereza hata cha kuombea maji hamjui [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
So wacha vita iendelee "I'm not your mate fool" [emoji117][emoji117][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji90][emoji86][emoji205][emoji117][emoji1139][emoji3545]
 
So wacha vita iendelee "I'm not your mate fool" [emoji117][emoji117][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji90][emoji86][emoji205][emoji117][emoji1139][emoji3545]
I still hope its just a bad dream am having and when i wake up atakua anasimamia utiaji sahihi kipande cha Makutopora-Isaka...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji86][emoji86][emoji205][emoji205]
 
I still hope its just a bad dream am having and when i wake up atakua anasimamia utiaji sahihi kipande cha Makutopora-Isaka...
Mwamba umeanguka mkuu, mm mwenyewe nilijipa moyo kwamba naota lkn mm nina kawaida moja nikihisi hivyo ili ni proove kwamba sio ndoto huwa nasema "au naota" basi nikisema hilo neno juwa kwamba ni kweli tupu na wala sioti.

Mm katika maisha yangu mpk hapa nilipofika nimewahi kuongea hili neno "hapa naota" nikiwa ndani ya ndoto mara moja tu na sikuweza tena kufanya hivyo mpk leo.
 
Huyu Bwana Mapesa nahisi atakuwa kala ban ya maisha na nahisi keshafungua ID nyingine mana Wakenya wanapenda sana Jf hata ukiwafukuza wanarudi tu, yn mkenya akishaonja Jf humwambii kitu, tatizo lao tukishawakaribisha wanageuza Jf yakwao, yn tunawapa lift wanataka kupiga na honi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Mimi nathamini sana lugha ya mama hata kuliko kiswahili na kingereza, upo?[emoji1787]
Alafu tatizo kinachokuuma zaidi unashangaa jamaa hatujui kingereza lkn tunajibu hoja za kingereza kw kiswahili..

Si utakufa kw pressure mzee baba[emoji2960][emoji2960]
We ukitaka reply kw kingereza mpka asubuhi mimi nitakujibu kw kiswahili na wala hutonitatiza kabisa..
Jaribu uone
 
Mwamba huyo..
Bado yupo kitaani anadunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…