The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Wengine walitumia saa, huku Dar ilikuwa huruhusiwi kuvaa saa wala kushika simu.kama unaongelea hio picha, ni mtu alikuwa kwenye folen alipiga video na simu.. niliiona twitter .. sasa hapo hakukuwa na mtu kwa mbele anaeweza kuangalia kama wanavyofanya saiz
Si umeumia sana, katupe hyo link katika kaburi la marehemu mwenda zake..Uhehehhehehhehehehehehehheheh wenzako wote wameelewa ispokua wewe tu mpuuzi unaejifanya unajua zaidi kuliko cs macharia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1733936
GDP bank account tz inasemajeKuona vumbi kwa GDP ya mikopo [emoji1787][emoji1787] yani debt to GDP ratio ipo 86% alaf unazungumzia uchumi gani???
Ukiniletea ushahidi km atcl imenunua ndege natoka jfAibu sn mkuu, sisi kwa miaka mi5 tu tumenunua [emoji211] 11 na angekuwepo huyu mzee mpk anatoka zingefika 30 mana speed yake ilikuwa inashangaza ulimwengu.
Si bora atcl inatumia ndege za serikali kuliko kq inatumia ndege za mkopo.Ukiniletea ushahidi km atcl imenunua ndege natoka jf
Mpuuze hyo, yani benki wateja wengi wawe ni jamaa wa imports/exports..Mzee hata tukisema 2% wanafanya import/export business bado 98% hawafanyi biashara hio. Duniani kote watu wanaofanya biashara hii ni wachache sana. Fact inabakia pale pale kwamba customers wengi wa benki hawafanyi import/export business.
We mpuuzi sana, akamatwe akafanye kesi na marehemuMpaka sasa najiuliza nani alimpa Lissu Taarifa za ugonjwa wa mkuu.
Kwangu mimi hata lissu anatakiwa kukamatwa na kuhojiwa.
Kwn TISS hawana uhuru wa kumpigia kura wampendae..Sure.
Kwhyo atcl haina ndege, aibu sanaSi bora atcl inatumia ndege za serikali kuliko kq inatumia ndege za mkopo.
Mbna unajirudia rudia jomba, leta source yyte kutoka KQ ku back-up your claims..Unatafuta pakutokea kwamba tulisema munamiliku ndege tatu wenzako wakaelewa wewe hukuelewa au[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwamba hata CS macharia leo hajui kuliko wewe
Humu kuna kq financial statement na iko very open kwamba fully owned aircraft nitatu chakavu boeing737
Kenya Airways Limited (KQ.ke) 2019 Annual Report
Kenya Airways Limited (KQ.ke) listed on the Nairobi Securities Exchange under the Transport sector has released its 2019 annual report. For more information about Kenya Airways Limited (KQ.ke) reports, abridged reports, interim earnings results and earnings presentations, visit the Kenya Airways...africanfinancials.com
Acha kujirudia mzee baba, tuletee vitu kutoka KQ..kwn wao hawana sites zao mpka uniletee kitu kimeandikwa press statementWewe na cs macharia nani tumuaminu na nani anaijua kq kindakindaki [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
Nione aibu na kitu kimeandikwa press statement na wala hakina link wala vyanzo vya habari havijulikani..Mm au wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani unaona aibu mm kukwambia muna miliku ndege 3 miaka 40
Wamempuuza basiUnajua maana ya kuwatag ??? Au unafkiri anawatag bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wamempuuza basiUnajua maana ya kuwatag ??? Au unafkiri anawatag bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakuaminiwa ni KQ[emoji1787]Ww na cs macharia nani tumuamini??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
What a road! Splendid for a de tour