Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

African financials[emoji2960][emoji2960]naona sasa hampo serious walai
 
Kwn mpk leo ulikuwa hujaamini tu mkuu, we huoni tukiongelea suala la kumiliki [emoji211] 3 chakavu huwa wanamuachia huyo mwanadada apambane [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hio ni link ya website ambayo kuna report ya KQ imeattachiwa.. wew shabiki wa girl maria vip .. ingia kwenye hio link utaona annual report ya KQ.. ukishafungua wala usijiangaishe.. tafuta neno loans utaletewa kila kitu mnachodaiwa [emoji23][emoji23]
 
Hyo ripoti ya KQ mbona usiilete kabisa kabisa kutoka kw wenyewe, au ulitafuta hakuna[emoji1787]
 
Kwn mpk leo ulikuwa hujaamini tu mkuu, we huoni tukiongelea suala la kumiliki [emoji211] 3 chakavu huwa wanamuachia huyo mwanadada apambane [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi hiki siwezi lipuuza km wanavyowapuuza, mbona na mie kuna ishu nazipuuza na wengine bado wanachangia[emoji1787]
Ile siku mtaleta link kutoka KQ mbona hii mada nitaachana nayo tu
 
hio ni link ya website ambayo kuna report ya KQ imeattachiwa.. wew shabiki wa girl maria vip .. ingia kwenye hio link utaona annual report ya KQ.. ukishafungua wala usijiangaishe.. tafuta neno loans utaletewa kila kitu mnachodaiwa [emoji23][emoji23]
Huyo km huku Tanzania ndio wale wapinzani wa kupinga kila kitu.
 
Mimi hiki siwezi lipuuza km wanavyowapuuza, mbona na mie kuna ishu nazipuuza na wengine bado wanachangia[emoji1787]
Ile siku mtaleta link kutoka KQ mbona hii mada nitaachana nayo tu
Ukweli uko hapa [emoji116][emoji116] na wote mmeona. Case closed [emoji357]
 
Yaani wajaribu tu kuangalia toka Dar mpaka saivi Geita, msiba kote ulipopita barabarani

Kitu wasichojua ni kwamba umaarufu mkubwa wa Magufuli kaupata kwenye ujenzi wa barabara Tanzania nzima, kwa hiyo kama tujuavyo hakuna kiongozi Kenya toka iwepo na kuendelea atakuja kufanana na Magufuli ndio hivyo hivyo Kenya haitokuja kufanana na Tanzania kwenye issue ya ubora wa barabara na upana wa mtandao wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…