Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mim nikikupa gari langu ulitumie afu ukawa unalilipa kidogo kidogo, gari ni la kwako??
🀣🀣🀣🀣🀣 anajitia uchizi yani wanunuliwe ndege 20 na mabenki ya wazungu kwa interest kubwa alaf wamelipa tatu tu zile chakavu zilizobaki wameshindwa kulipa na bado hasara ya 36.6b ksh iko mezani
 
Nipe maana ya neno "owner" kwanza alafu uje umsaidie mwenzako
Tusema waio finance kununua ni serekali ya kenya au sio 🀣🀣🀣🀣🀣 ndio maana wakafkiria kusema fully paid ni 3 aircrafts



Unaogopa aibu ya kuambia miaka 40 munamiliku ndege 3 🀣🀣🀣 who is cs macharia

 
Cs wako mbona hakutwambia kuhusu hilo, hii umetoa wapi? Nioe link yake
So ushamjua cs macharia ni nani sasa 🀣🀣🀣🀣🀣 miaka 40 fully paid only 3 aircrafts alaf unashangaa kwanini loss iko mezani
 
So ushamjua cs macharia ni nani sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] miaka 40 fully paid only 3 aircrafts alaf unashangaa kwanini loss iko mezani
Table aliyepost yeye na yako ya loans haziendani[emoji1787][emoji1787]
Unaforce tu zee la ku crop
 
Cs wako mbona hakutwambia kuhusu hilo, hii umetoa wapi? Nioe link yake
Financed by who ?? Kwamba walipo sema fully owned hzo tatu walikua wanamaana gani 🀣🀣🀣🀣🀣 unaogopa aibu
 
Table aliyepost yeye na yako ya loans haziendani[emoji1787][emoji1787]
Unaforce tu zee la ku crop

Kwa kwa kwa mwishoe aibu imekushika 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
So ushamjua cs macharia ni nani sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] miaka 40 fully paid only 3 aircrafts alaf unashangaa kwanini loss iko mezani
Link kutoka KQ iko wapi mzee tumalize hili swala, au nikuache uendelee na unenguaji
 
Eti wanalipwa na pesa ya nani hahahha kasahau kua wanatumia pesa za taxpayers na kukopa loan kuwalipa hao wazungu 🀣🀣🀣
 
Hahahhahaha nimecheka sana eti mtu anaogopa kuambiwa miaka 40 wanamiliki ndege tatu alaf wanatafuta mchawi wa loss 🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Loss imefika mara tatu ya 2019 πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahahhahaha nimecheka sana eti mtu anaogopa kuambiwa miaka 40 wanamiliki ndege tatu alaf wanatafuta mchawi wa loss [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Loss imefika mara tatu ya 2019 [emoji3][emoji3]
Shirika lenu limeingiza faida ya shingapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…