Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiniletea official source kutoka KQ hata sitobishana tena, lkn eti huo upupu sijui wa ku crop vitu basi naona hapa leo utachoka sana
So waziri mwenye wizara hio hana akili kuliko wewe🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇

 
Ukiniletea official source kutoka KQ hata sitobishana tena, lkn eti huo upupu sijui wa ku crop vitu basi naona hapa leo utachoka sana
Nioneshe sehemu nime crop ukipata nitag 😄😄😄😄😄😄
 
Hyo ndio source kutoka KQ..
Emu katafute financial report yao acha umbweha hapa..
Mara hoo hasara inaletwa kutokana na shirika hela zake kwenda kw madeni, mara tena tax payers hvi we mwarabu koko unautumia ubongo wako ipasavyo kwel
Mwenye wizara ya uchukuzi sio mm🤣🤣👇 unanilaumu nn na kwann ulie sasa

Naona umeongea kwa jazba na hasira kali
 
Hyo ndio source kutoka KQ..
Emu katafute financial report yao acha umbweha hapa..
Mara hoo hasara inaletwa kutokana na shirika hela zake kwenda kw madeni, mara tena tax payers hvi we mwarabu koko unautumia ubongo wako ipasavyo kwel
Hasira haziwezi kubadilsha kitu mark my words 🤣🤣🤣😀😀 eti leo hujui kwann shirika linaendesha hasara
 
Hasira haziwezi kubadilsha kitu mark my words [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3] eti leo hujui kwann shirika linaendesha hasara
Sijaona loans hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mimi na wewe nani mjimga jomba
 
Wazee wamezoea kulishwa pumba mpka sai wamekomazwa akli zao, haiwezekani jamaa unakiri kabisa eti empty containers zitoke mombasa ziende nairobi bana..

Itabidi watu wamepimwa tezi dume manake sio kw mambo haya
 
Kwn kasema uongo, nyie bado mnatumia truck scanners
Hizi anatumia mamako sio? TRA ndo inatumia mobile container scanners kwa wingi! 👇
Sasa kama huwezi kujua kwanini tuna 3 types of scanners at Dar port! Ina maanisha nn? Mimi nimekuomba uoneshe midaki hii Mombasa port ambayo ni specifically for scanning a moving train be a doubledeck or not!




Tanga port



Dar port




Nachojua mimi the whole of Kenya haina vitu kama hivi ☝️
 
So ww na cs macharia nani ni waziri na nani mkuu wa kitengo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au wewe unajua zaidi kuliko waziri mwenye wizara husika
Macharia ni waziri wa nn? Tena mbona katika post yake sijaona 17 za loan, we ulizitoa wapi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…