Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm hata mitandao nmetokea kuichukia, kila sehemu habari ni hyo hyo, yn nakuwa mpweke kweli kweli aisee.
 
Hii corona inayopigiwa debe kila kukicha hii cjui maana yake nini, mbn leo raia tumejimwaga km wote na kuna mda kulikuwa na vurugu za kufa mtu na 90% hatukuwa na barakoa wala nn na hakuna lolote, km ipo sawa lkn haina nguvu hiyo ya kushtusha amini kwamba.

Lkn kingine nilichofurahi nmemuona Magu leo japo nilijikaza sn but nilipokumbuka speech yake bora kabisa aliyoitoa 2015 pale bungeni Dodoma (Mana ni speech ambayo naijua na nmeimeza sn cz since 2015 nmekuwa naisikiliza mpk kesho) kwa kweli nililia kwa uchungu sn.
 
One of the words in that speech were [emoji116][emoji116]


"....ndiyo maana ndugu zangu napenda mnielewe na nilazima niliseme hili kwani nisipolisema nitakuwa mnafki na mm sitaki kuwa mnafki kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu."


Hiyo speech iliniliza leo nilipomuangalia jembe.
 
"...mimi nataka wananchi hasa wanyonge wafaidike na matunda ya nchi yao Tanzania.... lakini sio kila mahali mtu anapokwenda ni kufukuziwaa lakini saa nyingine chakula wanakila wao, sasa hatuwezi kwenda kwa mtindo huo..... Tanzania ni tajiri, Tanzania ina kila kitu tukisimama kwa pamoja tukamtanguliza Mungu mbele tutashinda."
 
πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
 
"... maana pamekuwa na mtindo huo, wakati watu wakitaka kuuza mafuta ya bei ya juu au wakitaka kuuza majenereta yao anatumwa mtu kule ambaye analipwa mshahara anayafunguliwa maji usiku kwahiyo ile level inakuwa haifikii, tuta deal nao na mimi nawaambia nita deal nao kweliii kweliii"

Rest in peace JOHN.
 
Trump alikuwa anasema mexico ndo itagharamia ule ukuta wao[emoji23][emoji23].. huku kenya β€œwanajenga wenyewe”..(sina uhakika ila ufisadi lazima uwepo)
Marehemu JPM alijenga fence ya matofali na kuweka cctv camera system ya urefu kama huu kwa miezi mitatu! jamaa wa senyenge mwaka wa sita huu hola!!

CC: Tony254
 
Kwahyo mkuu unataka madhara ya korona uone ndani ya siku moja?
Umenishangaza sana
 
*Nasikia maumivu makali Sana moyoni, yaani hadi najiona dhaifu aise,dah😭😭😭,Magu!!!, Kama Mungu angeonekana,mm ningemsihi amwache huyu mzee,naumia Haki ya Mungu acha tu😭😭😭
 
Kwahyo mkuu unataka madhara ya korona uone ndani ya siku moja?
Umenishangaza sana
Wacheni upumbavu, hyo tulishakubali kuishi nayo km kweli ina madhara hayo mnayoyanadi mitandaoni, watu wamekuwa wakihudhuria mechi hapo kwa Mkapa na kawaida tu au nayo hamuoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…