Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mi toka kipindi kile pacemaker yake ilipoleta matatizo kule Lindi na kukatisha ziara, nikaanza kujiuliza hivi mtu akisend high frequency pulse kwenye pacemaker kwa kijifanya anapiga picha kwa kamera si anaweza kuiharibu?
Kaka umeongea jambo la msingi sana, kitambo, team ya kamandamkuu walilijua hilo laweza kutokea ndio maana ktk misafara yake yote utaona lile gari kama double cab lenye signal jammers juu.

Unfortunately, they waited until akiwa kwenye mazingira yaku relaz nyumbani/ofisini ndio wakafanya huo unyama wao.

Nafikiri utakumbua mwezi uliopita kuna meli kubwa mbili za jeshi la nchi fulani kubwa tuliambiwa hapa jamvini kuwa zimetia nanga ktk mchi jirani, na tukaambiwa kuwa hatua hio ni kuhakikisha ulinzi wa nchi hio jirani, i dont know from which kind of threats!

Inaonenkana kabisa meli hizo mbili zinahusika na unyama huo kwa kutuma high-frequency interfering signal s kwenye kifaa cha kusaidia mapigo ya moyo wa kamanda mkuu. Huu unyama weten ulipangwa uitambo, Indio maana yule mkimbizi wa Ubelgiji alikuwa najua tayari nini kitatokea akaanza kuropoka mitandaoni, aisee wala asijaribu kutia mguu tena bongo, ni Kazila atueleze ni nani walifadhili tuo unyama.......

........
....
 
Plz guys tusifike huko.
 

interesting..
kuna kitu nimejifunza hasa kuhusu hilo gari
 
Hata upige nduru Konyagi will never come back.
Bwana Mapesa Tz ina system so haiwezi kuyumba hata cku moja, nadhani umejionea mwenyewe kwamba The giant Magu ametutoka lkn hakuna aliyehoji kwamba nani atakaimu kiti chake na wala hakukuwa na matata yn kwamba slightly mwenye haki kachukua nchi pasipo kuhoji ni mwanamke au mwanaume, zen zinapotoka takwimu kwamba Tz leads in EA in democracy index muwe mnaelewa.
 
Hata upige nduru Konyagi will never come back.
Pia nikuambie kwamba cku upinzani ukijitambua utachukua nchi na hakuna tatizo lolote litakalotokea, tuko ivyo yn kisiwa cha amani na haki, hakuna mTz anayetamani vita na huwa tunaamini cku zote kwmb aliyekufa kafa ila legacy yake inabaki daima mfano The late Nyerere alikufa lkn akafufuka kwa jina la Magu, naye Magu amefariki lkn tayari ushamsikia mrithi wake anakuambia tunapita mule mule, so nyie km Wakenya km mnahisi mtarudi enzi za JK mmepotoka cz MBEGU ALIYOIPANDA MAGUFULI IMESHAOTA. Poleni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…