Kikwete ndie fisadi alieshindikana hadi sasa na wafanyabiashara wakubwa wanamtumia kulinda biashara zao against law.Ukimfuatilia utagundua kama kuna kitu anachofanya behind the curtain, yaani Mimi namuona kama si mtu mzuri saaana
😀Wewe ni ushahidi wa sentensi hii "Aliekuloga keshakufa". Too bad for you hawezi kufufuka aje kukuagua, so na wewe utakufa kwa stroke kama yeyeSikumbukagi wafu unless awe my dad
Wewe unaweza kumbuka jitu katili kama yeye?
😀 heart attack inakusubiri mbwigaHuu ndio ukweli achana na hao mataga yaliyokuwa yanafaidika na ukandamizaji na wizi
Yule mtu keshasepa na Mama kashika hatamu sasa tunasubiri kujua utumbo wooote waliokuwa wanatumia nguvu kuuficha, uzuri yataongea msiba ukiisha
Marehemu hakua na chuki ila hakutaka tanzania liwe shamba la bibi kama ilivozoeleka, alaf wenye chuki ni wakenya dhidi ya tanzania hawapendi kuona tanzania ikisonga mbele ila mm nakwambia wembe ni ule ule tena kwa huyu mama nawasiwasi mambo yatakua tight kuliko ilivokua maana watu wanachukulia poaIchoboy natumai huyu mama hana chuki na kenya kama marehemu.
Hebu toeni upuuzi huyu madaraka atayaskia kwenye radio maisha yke yoteYou do this to me, ill spit on your grave.
View attachment 1729217
Matanga ??? Kwan huyu samia ni chama gani?? Unafurahia nn wakat wembe ni ule uleNimefurahi saaaana,orodha iko mezani na mataga wataufyata sasa
Sawa bwana mapesa, kwambaUsiniletee hasira zako tafadhali. Sikuambia Magufuli awe mjinga, ujinga wake ndio umemua sio mtu yeyote.
Na mm nakuambia leo kwamba this is the last time I show you my wealth, and the reason behind posting it is because I want to show you something about me, but next time if you request for it I won't show you even my legs [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usiniletee hasira zako tafadhali. Sikuambia Magufuli awe mjinga, ujinga wake ndio umemua sio mtu yeyote.
Kama mmegundua hapa ni kazi tu, hakuna kula na kunywa hapo[emoji16], good startWembe ni ule ule na katiba ni ile ile na ilani ni ilele [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mzee wa mipesa ya mitandaoni ni kudowload tu picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa bwana mapesa, kwamba
"This is the first and the last time I'm posting my personal life..., Next time if you ask me to show you even my nails I won't show you" yn we jamaa nilicheka sn[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1729422