Sasa kuna utofauti gani wa watu walio ishia darasa la saba na watu wa formsix kwenye uelewa wa mambo ya kimataifa? Kwa elimu hii ya bongo? Saa nyingine embu tafakarini kabla hamja ongea... uongozi ni experience... you learn through the process. The longer your into it the betterMkuu,kwa hili nakuunga mkono to some extent,ni kwamba mfano hoja inaletwa bungeni ambayo Inahusu mambo ya kimataifa,sasa huyu darasa la saba atachangia nini?walau ubunge ungeanzia form 6 na kwendelea,japo sio wasomi wote wenye michango ya maana bungeni.
Asante sana ndugu yangu.Nimekusaidia bro. Skiliza nondo za mskuma hapa The best 007 👇.
Mipaka haichorwi kama unachora ramani kwenye ubao na chaki.Nimekuwa nikiwatch video ya kesi ya Kenya vs Somalia kwenye korti. Natoa predictions mbili. Ya kwanza ni kuwa Somalia itashinda, based on defense mzito sana ambayo wametoa. Pili napredict kwamba Kenya itaipeleka Tanzania katika mahakama hii hii ili kuredraw boundaries kati ya nchi hizi mbili. Hapa hakuna cha urafiki wala nini. Lisilo budi hutendwa. Tukutane mahakamani soon majirani.
Watu hawajui tu kwamba Elimu inaweza kupatikana darasani au kupitia experience ya maisha,sio lazima et uwe umesoma mavidato eti ndio uwe mueledi kwenye kutatua au kuzisemea shida za wananchi. Kuna watu hawajaenda shule lakin wanajua mengi tuAsante sana ndugu yangu.
Nikweli katika uongozi kuna levels... mtu kama raisi wa nchi ni vyema awe na kisomi coz ana deal na mataifa mbali mbali na ata mawaziri coz ndo ma strategizer wa nchi lakn wabunge it's not all dat... wabunge kazi yao nikuwasilisha malalamiko ya wananchi wao bungeni yafanyiwe kazi..na ndo maana wana exist na wapo wanao fanya great things...Karama na shule mzee. Dunia haitusubiri sisi kaka. Kuna wasomi wenye karama za uongozi pia, msomi anauwezo ya kuchambua mambo mazito ya dunia ya leo kwa kutumia usomi wake sio karama lakini darasa la saba hatoweza hata kama ana karama. Sasa kama leader ndio last say halafu hajui a wala b ya mambo mazito ya nchi unategemea aje na jibu zuri, si ni rahisi tu kudanganywa.
Halafu unatakiwa ujue nyie ndio MLI extend mpaka.Nimekuwa nikiwatch video ya kesi ya Kenya vs Somalia kwenye korti. Natoa predictions mbili. Ya kwanza ni kuwa Somalia itashinda, based on defense mzito sana ambayo wametoa. Pili napredict kwamba Kenya itaipeleka Tanzania katika mahakama hii hii ili kuredraw boundaries kati ya nchi hizi mbili. Hapa hakuna cha urafiki wala nini. Lisilo budi hutendwa. Tukutane mahakamani soon majirani.
Hehehehee naona unachanganya kati ya utajiri na uongozi, nikuulize Bakhressa na Magufuli nani ana pesa?Umesoma na kuelewa nilichoandika!?
Hiyo ndiyo reality.
Watu wanamchagua mtu ambaye atawasemea shida zao. Halafu tunapoongelea demokrasia ni kuacha ubaguzi ambao hauana mantiki.
Baadae utaanza kuwabagua walemavu eti wasiweze kuchaguliwa kwa sababu ya ulemavu wao.
Kwa mawazo yako hayo huwezi ukawa kiongozi. Siasa ni jambo pana mno.
Hebu nikuulize jambo kati yako na Msukuma ni nani aliyeelimika!? Msukuma anajua issue za madini, yupo na mabasi. Kabla hata ya kuwa mbunge alikuwa anamilk Helkopita.
Kishimba mbunge wa kahama mjini ameishia darasa la saba. Anamilk viwanda, Dar free Market ni yake, Imalaseko Super market ni yake.
Wapo wabunge wengi tu weishia darasa la saba lakini wamefanya mabadiliko makubwa tu.
Laizer wa Melerani anamilk mgodi wa Tanzanite.
Usimdharau mtu.
Uko too emotional, kunidharau kwako hakunipunguzii wala kuniongezea chochote, hapa tu base kwenye hoja, huyo Msukuma unayemtetea kwmb tusimdharau kisa darasa la saba mbn yeye anadharau elimu kisa hajapata?Nimekudharau sana aise. Huwezi ukamwita mtu ngumbaru. Ni utoto wa hali ya juu.
Nani aliyechanganya hapo. Tatizo lako unakurupuka tu husomi.Hehehehee naona unachanganya kati ya utajiri na uongozi, nikuulize Bakhressa na Magufuli nani ana pesa?
Unaweza kuniambia kwnn mpk leo hatujaongozwa na Rais darasa la saba? Au hata waziri darasa la saba?Kama unadhani ubunge ni kitu kirahisi. Jaribu kugombea hata ukuu wa mtaa tukuone. This is politics. Jifunze kuheshimu wenzako.
Kila mtu atimize wajibu wake. Kuanza kumdharau mwezako ni dalili za kutokuelimika.
Wewe binafsi umefanya nini katika jamii!? Nyie ndio watu msiohudhuria kwenye misiba, kwenye kazi za kijamii.
Wacha watu wachague mtu aliyekaribu nao.
Unataka wawachague wasomi!!!? Ambao hawataki hata kukaa na jamii!!? Watu wanaona jinsi watu hao wanavyoishi na jamii.
Nimekuambia jifunze masuala ya kisiasa uyaelewe. Nimejaribu kukueleza kwa lugha rahisi. Ungekuwa umeelimika ungenielewa. Sasa hivi nitakufundisha in hard way.Uko too emotional, kunidharau kwako hakunipunguzii wala kuniongezea chochote, hapa tu base kwenye hoja, huyo Msukuma unayemtetea kwmb tusimdharau kisa darasa la saba mbn yeye anadharau elimu kisa hajapata?
Alafu mbn uko personal sn, wewe una uhakika gani kwamba huyo Spencer hajui mambo ya kimataifa kuliko Babu Tale?Kati yako na Kishimba nani anajua mambo ya kimataifa!?
Kishimba kawekeza Zambia, Malawi na DRC.
Hebu acheni utoto. Tafuteni kuwajua watu msiwe mnaropoka ropoka tu.
Kati yako na Babu Tale nani anajua issue za kimataifa!?
Kwani lazima I we hivyo!? Idadi ya wabunge inafanana na marais!? Kwani Karume alikuwa amesoma mpaka darasa la ngapi!?Unaweza kuniambia kwnn mpk leo hatujaongozwa na Rais darasa la saba? Au hata waziri darasa la saba?
Kwahiyo viongozi wa Tz walikuwa hawana akili kuhalamisha bangi?So what is problem with that!? Kusema bangi ihalalishwe. Kwani hakuna nchi duniani iliyohalalisha bangi!? Je, unajua matumizi ya bangi wewe!?
Hebu nenda shule kwanza.
Kama yupo zaidi ya Babu Tale aseme hapa. Maana Babu Tale hayupo. Atueleze yeye vitu gani anamzidi babu Tale vya kimataifa.Alafu mbn uko personal sn, wewe una uhakika gani kwamba huyo Spencer hajui mambo ya kimataifa kuliko Babu Tale?
Ona Upumbavu wako sasa. So unavyofikiria amendments za sheria ni kwa sababu walitunga mwanzo walikuwa hawana akili!?Kwahiyo viongozi wa Tz walikuwa hawana akili kuhalamisha bangi?
Hehehe mkuu unasema kazi ya wabunge ni nn? Labda responsibilities za bunge zimeshabadilishwa na sina habari, wabunge ndio wanaotunga sheria za nchi na kuishauri serikali yn kwa kifupi bunge ndiyo mpango mzima.Nikweli katika uongozi kuna levels... mtu kama raisi wa nchi ni vyema awe na kisomi coz ana deal na mataifa mbali mbali na ata mawaziri coz ndo ma strategizer wa nchi lakn wabunge it's not all dat... wabunge kazi yao nikuwasilisha malalamiko ya wananchi wao bungeni yafanyiwe kazi..na ndo maana wana exist na wapo wanao fanya great things...
Umenikumbusha Ilemi triangle! yaani Tanzania tu ndo nchi haina mgogoro wa mpaka na Nyang'au ila naona wanataka kulianzisha! Halafu media yao ya kifala kishenzi eti inadai Somalia itawanyang'anya access to international waters wakati si kweli Kenya itabaki na economic zone plus access to international waters! Kenya imejaribu kuiba economic zone ya Somalia kwa ajili ya tamaa ya vitalu vya mafuta vya Somalia!Halafu unatakiwa ujue nyie ndio MLI extend mpaka.
Mmeshindwa kisiwa cha migingo, mpo na conflict na Ethiopia kwenye triangle.
Ujinga wenu utawapeleka kibra.
Swala ni how you articulate things... sio kwamba ana watharau he's just disappointed na some of them ambao wana elimu yakutosha kbsa naya juu lkn elimu yao hai reflect the anticipated result as deemed soo... yani kwa ufupi ana wapa moyo ata wale ambao hawakufanikia ku vuka lasaba kwamba any thing is possible if u put the hard work..Uko too emotional, kunidharau kwako hakunipunguzii wala kuniongezea chochote, hapa tu base kwenye hoja, huyo Msukuma unayemtetea kwmb tusimdharau kisa darasa la saba mbn yeye anadharau elimu kisa hajapata?