Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,202
- 107,801
nadhani baadae mind u Kibaha ni Pwani, kuna mpango wa kuunganisha Mbezi Luis Bus Terminal na BRT Phase III kupitia Gongo la Mboto!Enhee umenikumbisha hivi ile Kibaha Highway itakuwa na BRT?? sasa vituo vitakuwa wapi au brt haitajengwa hv karibuni??
Though ktk render imo brt au itatoka Kimara to Mbezi only bila vituo hapa katinadhani baadae mind u Kibaha ni Pwani, kuna mpango wa kuunganisha Mbezi Luis Bus Terminal na BRT Phase III kupitia Gongo la Mboto!
hamna ya kwenda Kibaha! usichanganye highway na BRT!Though ktk render imo brt au itatoka Kimara to Mbezi only bila vituo hapa kati
Enhee umenikumbisha hivi ile Kibaha Highway itakuwa na BRT?? sasa vituo vitakuwa wapi au brt haitajengwa hv karibuni??
Ngoja wafananishe na upuuz unaoitwa mombasa 😆😆😆😆
yaani nani atawapa Mv Pamba permit ya kufanya kazi kati ya Mwanza na Kisumu? Kuna wagon ferry ya Tanzania inayoenda Kisumu toka Portbell?
Though ktk render imo brt au itatoka Kimara to Mbezi only bila vituo hapa k
Mi naona ni bora Mbezi Louis pakajengwa kituo kikubwa cha BRT kimoja na mabasi ya BRT yatakayo kuwa yanachukua abiria kuanzia hapo then next stop inakuwa Kimara ..... Ubungo ....... Magomeni then Gerezani au Kivukoni. Ziwe ni kama express buses hata kama nauli itaongezeka kidogo. Kwa watakao taka kushuka vituo vingine vidogo watakuwa wanashuka kwenye hivyo vituo vikuu then wanapand mabasi mengine ya BRT yanayoshusha kila kituo. Kwa mtindo huo hatutakuwa na haja ya vituo kwenye highway. Kumbuka abiria wengi wa haya mabasi yatakayokuwa yanaanzia kwenye hiki kituo cha BRT Mbezi Louis watakuwa ni abiria wa mabasi yanaotoka mikoani ambao huwa wanafika wamechoka na hivyo wanawahi kwenda waendako lakini pia kuna wengine watakuwa wanawahi kwenda kupanda mabasi ya mikoani. Hivyo kuwa na vituo vingi kwenye hii njia inaweza kupunguza ufanisi wa haya mabasi.Though ktk render imo brt au itatoka Kimara to Mbezi only bila vituo hapa kati
Kituo kikubwa si Ubungo mkuu au wali mis allocate kukiweka pale?Mi naona ni bora Mbezi Louis pakajengwa kituo kikubwa cha BRT kimoja na mabasi ya BRT yatakayo kuwa yanachukua abiria kuanzia hapo then next stop inakuwa Kimara ..... Ubungo ....... Magomeni then Gerezani au Kivukoni. Ziwe ni kama express buses hata kama nauli itaongezeka kidogo. Kwa watakao taka kushuka vituo vingine vidogo watakuwa wanashuka kwenye hivyo vituo vikuu then wanapand mabasi mengine ya BRT yanayoshusha kila kituo. Kwa mtindo huo hatutakuwa na haja ya vituo kwenye highway. Kumbuka abiria wengi wa haya mabasi yatakayokuwa yanaanzia kwenye hiki kituo cha BRT Mbezi Louis watakuwa ni abiria wa mabasi yanaotoka mikoani ambao huwa wanafika wamechoka na hivyo wanawahi kwenda waendako lakini pia kuna wengine watakuwa wanawahi kwenda kupanda mabasi ya mikoani. Hivyo kuwa na vituo vingi kwenye hii njia inaweza kupunguza ufanisi wa haya mabasi.
Mi naona ni bora Mbezi Louis pakajengwa kituo kikubwa cha BRT kimoja na mabasi ya BRT yatakayo kuwa yanachukua abiria kuanzia hapo then next stop inakuwa Kimara ..... Ubungo ....... Magomeni then Gerezani au Kivukoni. Ziwe ni kama express buses hata kama nauli itaongezeka kidogo. Kwa watakao taka kushuka vituo vingine vidogo watakuwa wanashuka kwenye hivyo vituo vikuu then wanapand mabasi mengine ya BRT yanayoshusha kila kituo. Kwa mtindo huo hatutakuwa na haja ya vituo kwenye highway. Kumbuka abiria wengi wa haya mabasi yatakayokuwa yanaanzia kwenye hiki kituo cha BRT Mbezi Louis watakuwa ni abiria wa mabasi yanaotoka mikoani ambao huwa wanafika wamechoka na hivyo wanawahi kwenda waendako lakini pia kuna wengine watakuwa wanawahi kwenda kupanda mabasi ya mikoani. Hivyo kuwa na vituo vingi kwenye hii njia inaweza kupunguza ufanisi wa haya mabasi.
USA Haijakamilika bila L.A. bro ....nje ya New York ni L.A.Kwa USA only New York and Chicago kwa mbaaaali.
Hebu jaribu kuitembelea miji ifuatayo china. By the way kuna direct flight from Tanzania.
ShenzhenBeijingShanghaiHong KongGuangzhouHangzhouChengduWuhanNanjing
Unamaanisha kituo cha BRT Ubungo? Kama ndivyo Hivyo basi inawezekana Ubungo ndicho kituo kikubwa kwa hivi vya barabarani (japo kwa size huwa sioni tofauti kubwa sana na hiki kituo cha Fire). Na kama ni hivyo basi ni kwa sababu stendi ya mabasi ya mikoani ilikuwa hapo Ubungo na sasa imehamishwa kwenda Mbezi Louis hivyo hata abiria watakaokuwa wanatumia kituo hicho cha BRT ubungo hawatakuwa wengi kama ilivyokuwa hapo awali. Labda kama eneo hilo kitajengwa kitu cha kufanya abiria wawe wengi eneo hilo.Kituo kikubwa si Ubungo mkuu au wali mis allocate kukiweka pale?
Hilo halina ubishi. Hawa jamaa Ghana kuhusu interchanges wanatupiga mbali sana whole EA
Kwangu naona expenditure method ndio nzur sababu ni rais zaid kutrack expenditure ukilinganisha na product au income methodUkitaka kijifunza zaidi kitaalam jinsi ya kucalculate Gdp unaweza kufuata hii link hapo chini
Gross Domestic Product
- Gross domestic product (GDP) is the total value of output produced in a given time period
- GDP includes the output of foreign owned businesses that are located in a nation following foreign direct investment. For example, the output produced at the Nissan car plant on Tyne and Wear contributes to the UK’s GDP
Three ways to measure GDP
There are three ways of calculating GDP - all of which in theory should sum to the same amount:
National Output = National Expenditure (Aggregate Demand) = National Income
(i) The Expenditure Method - Aggregate Demand (AD)
The full equation for GDP using this approach is
GDP = C + I + G + (X-M) where
The Income Method – adding together factor incomes
- C: Household spending on goods and services
- I: Capital Investment spending
- G: Government spending
- X: Exports of Goods and Services
- M: Imports of Goods and Services
GDP is the sum of the incomes earned through the production of goods and services. This is:
- Income from people in jobs and in self-employment (e.g. wages and salaries)
- +
- Profits of private sector businesses
- +
- Rent income from the ownership of land
- =
- Gross Domestic product (by sum of factor incomes)
Measuring National Income (GDP)
National income measures the monetary value of the flow of output of goods and services produced in an economy over a period of timewww.tutor2u.net
Not only phase 3 but also phase 4.Wakati nyangau wakisubiri bad news kutoka Bongo instead
Tanzania secures Sh570 billion WB loan for phase 3 of Dar Bus Rapid Transit