Kwa mfano ukitumia expenditure method kucalculate uchumi wa Tanzania na mimi nitumie income method, tunastahili kupata the same amount. Lakini in reality ni ngumu kufanyika. Kwa sababu nikicalculate income ambayo watu wamepokea katika uchumi fulani ni ngumu itoshane na expenditure ambayo watu wamespend katika uchumi huo. Hii ni kwa sababu ninaweza kosa kuinclude income fulani au expenditure fulani.Unaposema zinakaribiana how!!?
Shida ni kwamba unafikiria. You can't very your claimsHivi unajua SA's minerals na tourism revenues combined zinaweza pita hiyo oil ya Nigeria in revenue?
Kitu inayofanya Nigeria kuwa superpower hapa Africa ni their big internal market. Kwa sababu ya population kubwa wameweza kuwa na big internal market. Watu karibu 200 million na wote lazima wanunue chalula kila siku, wote lazima wanunue nguo, wote lazima wanunue madawa wakiwa wagonjwa, 60% wamenunua simu (120 million). 30% wana smartphones (60 million). So Gdp tunahesabu value of goods and services produced in a year. Kama ni goods, imagine unahitaji kilo ngapi za mchele kila mwaka kulisha population ya Nigeria kila mwaka. Kwenye services, imagine Nigeria ina wafanyabiashara wangapi wanaoprovide services ya kuuza chakula? Nigeria ina vinyozi wangapi wanaoprovide services za kunyoa watu? Au wasusi wangapi wanaoprovide services za kusuka wamama nywele? So yaani kama ni value of goods or serives ambayo Nigeria inaproduce, Nigeria lazima iwe inaproduce kwa wingi kwa sababu wana watu wengi wa kupatia hio service. Wana midomo nyingi za kulisha. Wana miili nyingi za kuvisha nguo. Hii ndio maana Mhindi mmoja ni masikini lakini ukichukua nchi nzima ya watu 1 billion unakuta kwamba wana Gdp kubwa inayotoshana na ya Africa. Ilhali India ni ndogo sana geographically ukilinganisha na Africa.Hivi unajua SA's minerals na tourism revenues combined zinaweza pita hiyo oil ya Nigeria in revenue?
Mji umejengwa just 10yrs 😅😅😅 wengine wana miradi inamiaka 13 haina hata 1% ya render haijafika
Kusimama kwa jengo haina maana halitaendelezwa kwan kuna miradi mingap hua inasmama alaf inakuja maliziwa baadae tony we vp 😀😀😀Ujenzi umesimama. Sijui unapingana kwa nini.
Kwa mujibu wa maelezo yako haya. Je, kwa kiwango gani GDP ina aksi ukweli kwenye nchi zetu za EAKwa mfano ukitumia expenditure method kucalculate uchumi wa Tanzania na mimi nitumie income method, tunastahili kupata the same amount. Lakini in reality ni ngumu kufanyika. Kwa sababu nikicalculate income ambayo watu wamepokea katika uchumi fulani ni ngumu itoshane na expenditure ambayo watu wamespend katika uchumi huo. Hii ni kwa sababu ninaweza kosa kuinclude income fulani au expenditure fulani.
Mimi huwa naprefer kutumia production method ambayo tunaangalia value of goods and services produced in an economy. Lakini hapa pia tunaweza kosa kucalculate some goods. Kwa mfano nipo sure kabisa wakati Tanzania inacalculate value of goods produced, huwa hamuhesabu informal sector, yaani sufuria inayotengenezwa na watu wa juakali au wamachinga. Hata wheelbarrow zinazotengenezwa na watu wa juakali huwa hamuhesabu. Hata Kenya tupo hivyo, huwa hatuhesabu vijiko na sufuria zinazotengenezwa na watu wa juakali. Hii ni kwa sababu industries zetu ni ndogo yaani informal. Na hizi small industries huwa nchi za Africa tunazipuuza. Marekani au Ulaya, vijiko vinatengenezwa na viwanda vikubwa na pia serikali inahesabu ni vijiko vingapi vimeundwa mwaka fulani na bei yao ni pesa ngapi, sufuria ngapi ziliundwa, gari ngapi ziliundwa, meli ngapi ziliundwa na value yao ni pesa ngapi?
Hizi methods tatu zinastahili kukupa the same amount lakini kwa sababu binadamu huwa tunasahau kuhesabu kila kitu au tunapuuza kuhesabu vitu basi hazitakupa the same amount.
Corona ndio imewatia mkenge TISS[emoji1787][emoji1787]Yani nimecheka sana vile tiss walivowachezea akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani mumeimgizwa wazimawazima mukafkiri magufuli mutampelekesha kiboya
mbona vya kawaida tu!. Hawa jamaa Ghana kuhusu interchanges wanatupiga mbali sana whole EA
Ngoja nikupe nondo 2019 SA got over $9 bln accounting 3% of SA GDP as tourism revenues alone! Also in the same year SA got around $14 bln as revenues for her mining activities accounting to only 2% of SA GDP! Nigeria oil revenues that account for over 90% of her GDP contributions were $45 bln ! Mind u SA has her cement, sugar n telecommunication companies all over Africa aside retailing companies! Naspers that owns M-Net is all over Africa! They even had Sabmiller breweries all over Africa before being sold to AnhauserBush and remains shareholder there!Kitu inayofanya Nigeria kuwa superpower hapa Africa ni their big internal market. Kwa sababu ya population kubwa wameweza kuwa na big internal market. Watu karibu 200 million na wote lazima wanunue chalula kila siku, wote lazima wanunue nguo, wote lazima wanunue madawa wakiwa wagonjwa, 60% wamenunua simu (120 million). 30% wana smartphones (60 million). So Gdp tunahesabu value of goods and services produced in a year. Kama ni goods, imagine unahitaji kilo ngapi za mchele kila mwaka kulisha population ya Nigeria kila mwaka. Kwenye services, imagine Nigeria ina wafanyabiashara wangapi wanaoprovide services ya kuuza chakula? Nigeria ina vinyozi wangapi wanaoprovide services za kunyoa watu? Au wasusi wangapi wanaoprovide services za kusuka wamama nywele? So yaani kama ni value of goods or serives ambayo Nigeria inaproduce, Nigeria lazima iwe inaproduce kwa wingi kwa sababu wana watu wengi wa kupatia hio service. Wana midomo nyingi za kulisha. Wana miili nyingi za kuvisha nguo. Hii ndio maana Mhindi mmoja ni masikini lakini ukichukua nchi nzima ya watu 1 billion unakuta kwamba wana Gdp kubwa inayotoshana na ya Africa. Ilhali India ni ndogo sana geographically ukilinganisha na Africa.
Nchi za Afrika huwa hazina uwezo wa kutosha wa kucalculate Gdp accurately. Huwa tunakosa kuculculate kila kitu na hata unakuta kwamba kuna sectors nzima mpya ambazo hazijakuwa calculated.Kwa mujibu wa maelezo yako haya. Je, kwa kiwango gani GDP ina aksi ukweli kwenye nchi zetu za EA
The thing is they r net importer by far that market benefits the outside World! Unlike SA that produses nearly everything! I will continue to doubt Nigeria's GDP just like Kenya's!Kitu inayofanya Nigeria kuwa superpower hapa Africa ni their big internal market. Kwa sababu ya population kubwa wameweza kuwa na big internal market. Watu karibu 200 million na wote lazima wanunue chalula kila siku, wote lazima wanunue nguo, wote lazima wanunue madawa wakiwa wagonjwa, 60% wamenunua simu (120 million). 30% wana smartphones (60 million). So Gdp tunahesabu value of goods and services produced in a year. Kama ni goods, imagine unahitaji kilo ngapi za mchele kila mwaka kulisha population ya Nigeria kila mwaka. Kwenye services, imagine Nigeria ina wafanyabiashara wangapi wanaoprovide services ya kuuza chakula? Nigeria ina vinyozi wangapi wanaoprovide services za kunyoa watu? Au wasusi wangapi wanaoprovide services za kusuka wamama nywele? So yaani kama ni value of goods or serives ambayo Nigeria inaproduce, Nigeria lazima iwe inaproduce kwa wingi kwa sababu wana watu wengi wa kupatia hio service. Wana midomo nyingi za kulisha. Wana miili nyingi za kuvisha nguo. Hii ndio maana Mhindi mmoja ni masikini lakini ukichukua nchi nzima ya watu 1 billion unakuta kwamba wana Gdp kubwa inayotoshana na ya Africa. Ilhali India ni ndogo sana geographically ukilinganisha na Africa.
Ukitaka kijifunza zaidi kitaalam jinsi ya kucalculate Gdp unaweza kufuata hii link hapo chiniKwa mujibu wa maelezo yako haya. Je, kwa kiwango gani GDP ina aksi ukweli kwenye nchi zetu za EA
Ngoja nikupe nondo 2019 SA got over $9 bln accounting 3% of SA GDP as tourism revenues alone! Also in the same year SA got around $14 bln as revenues for her mining activities accounting to only 2% of SA GDP! Nigeria oil revenues that account for over 90% of her GDP contributions were $45 bln ! Mind u SA has her cement, sugar n telecommunication companies all over Africa aside retailing companies! They even had Sabmiller breweries all over Africa before being sold to AnhauserBush and remains shareholder there!
Now figure out if oil accounts for 90% of Nigeria GDP and brings $45 bln and mining and tourism alone $23 bln n accounting for only 5% of industrious SA GDP, then where is the Nigeria GDP coming from?
Supposed to read over 90% of her export! The underlying fact is u will mostly like find SA products in ur local store than Nigerian products!Si kweli kusema kwamba oil accounts for 90% of Nigeria's Gdp.
Nadhani ulimaanisha kwamba oil accounts for 90% of Nigeria's export revenue.
90% percent of export revenue ni tofauti na 90% of Gdp.
Kwa mujibu wa Opec oil accounts only for 10% of Nigeria Gdp but 86% of Nigeria's export revenue.
Soma hapa.
Nigeria facts and figures
Nigeria's Independence Day
01 October
The most populous country within OPEC, Nigeria has around 208 million inhabitants. Located on the Gulf of Guinea on Africa’s western coast, Nigeria covers an area of around 924 thousand square kilometres. Abuja, the capital since 1991, has a population of more than one million. English is Nigeria’s official language, although many local languages such as Hausa, Yoruba, Igbo and Ijaw are also spoken.
Apart from petroleum, Nigeria’s other natural resources include natural gas, tin, iron ore, coal, limestone, niobium, lead, zinc and arable land. The oil and gas sector accounts for about 10 per cent of gross domestic product, and petroleum exports revenue represents around 86 per cent of total exports revenue. Its currency is the naira.
Nigeria’s Head of State and Commander-in-Chief of the Armed Forces is HE Muhammadu Buhari. The country joined OPEC in 1971.
Ndio hii link hapa 👇👇