Hey Kenyans, bando mpo na stupidit ya zamani sana. Tunapokuwa kimya msidhani mpo juu. Ujinga wenu huo kaeni nao huko Nairobi.
Hivi mnajua hata maana ya technology? Inaweza kuwa tunabishana na watoto wadogo sana hawajui chochote.
Yaani wanaongelea vitu vidogo vidogo kweli eti ndio wanajiita wapo mbele kwenye technology.
Hivi vi App hata watoto wanatengeneza ni jambo la aibu sana kujisifia kutengeneza apps.
Leteni technologies zinazofanya kazi. Mf: Hospitals, Police equipments, Car technologies.
Hao wakenya hata plate number za magari bado ni za kizamani halafu wanakuja kukenua kenua meno hapa.