Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wadau nimeshangaa zaidi. Eti Kenya imejitoa kwenye kesi ya Maritime dispute? Nimeshangaa sana ila sina la ziada la kusema.
Umeanza kuogopa tena wakati ulituambia hivi...



 
Hahah ujinga ni wa kenya na baada ya kuona ujinga wao unawekwa peupe tena katika mahakama ya kimataifa ya ngazi ya juu kabisa kenya imeamua kuhepa hii kasi...ila bado maamuzi yatatolewa tu hata kama mmekimbia kesi.

Janja ya kuigawa somalia ime fail. Hoja ya msingi hapa ni umiliki. Nani mwenye hati miliki wa hilo eneo? Nani anatambulika kisheria kwa umiliki wa hilo eneo? Kenya iko na any piece of legal and authentic paper inayoonyesha hilo eneo liko upande wake? Mlichukua hilo eneo kwa maneno tu.. kama vile kusema mt.KLM iko kenya, mliweza kudamganya dunia hivyo, but can you claim the mountain to be part of kenyan soil kisa mnasemaga ni wenu?

Somalia ni taifa kubwa sana, mliingia kichwa kichwa huko kwa fake promise, ajabu hao waliowapeleka huko hata hawapo kuwatetea au kusema neno. Sasa mmebakiwa na kaeneo kadogo tu ka bahari...ila fresh tu na bandari si mnaachia wabeijing so sio mbaya.
 
Tony254 kw hizi pumba km ni mm hata nisingeliendelea nae
 
Kaka hizi ndio sababu za kumbeba somalia?
 
deni la mchina lazima lilipwe[emoji23][emoji23][emoji23].. kibaya zaid reli waliyojengewa ni utopolo na anaeumia ni mwananchi.. viongozi wanaendeshwa na hela za serikali
hii 122.81 in Nairobi inatrend twitter, fatilieni muone
 
Halafu hi portal ingekua TZ tungesema imetengenezwa na wanafunzi
 
Alafu ujue kwetu una log in sehemu moja tu kupata huduma wao kwao mpka u search kila service kivyake[emoji1787]
 
Halafu acha ujinga. Mambo ya account hats kunisogelea huwezi.
Also issue za TIN siyo masuala ya account.
Finally nitajie nchi gani inatumia PIN kwama Tax Identification number!?
Uganda, Rwanda, SA, China, UK, Russia, German etc waanatumia TIN
Kwn watu lazima wafanane, mbona nyie mumepima mapapai na mbuzi corona..
Nikikwambia unitajie nchi ambayo imepima mapapai corona utaziorodhesha hapa
 
deni lazima lilipwe kwa namna yoyote ile[emoji23][emoji1438]‍[emoji3603]

polen polen sana watan wetu
Kwhyo deni lilichukuliwa february ndio tumeanza kulilipa, yakishuka bei urudi tena useme tumeshamaliza kulipa..
 
Hilo eneo tulilichukua lini, lete ushahidi hapa..
We unafikiria jf ni sehemu kupiga vibao kata
 
Subiri by jioni leo utapata hukumu!
 
deni la mchina lazima lilipwe[emoji23][emoji23][emoji23].. kibaya zaid reli waliyojengewa ni utopolo na anaeumia ni mwananchi.. viongozi wanaendeshwa na hela za serikali
hii 122.81 in Nairobi inatrend twitter, fatilieni muone

Kama 2600 hivi aiseh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…