Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekupata kaka lakini sisi sio rehabilitation centre ya kuondoa maumivu yao. Hizo athari walizozipata kutokana na ubaguzi zipo wanapokuja huku tuna uhakika kwamba tunaweza kuwacontrol wasisambaze, niliona mdada mmoja kibonge mmarekani analalamika kweli kweli kwamba Ghana hamna cookies, analala sehemu mbaya na mambo mengine mengi tu lakini bado yupo.

Off topic_Kitu ambacho kimenishangaza kuhusu hawa wamarekani weusi ni uchaguzi wao ulioisha, nimeshangaa kwenye maeneo yao wamempigia kura nyingi sana biden kuliko trump lakini ukiangalia historia biden ni mbaguzi kushinda trump na amechangia wao kurudi nyuma sana ila wanaaminishwa na magazeti na tv kwamba trump ni mbaguzi wa kiwango kikubwa na wanakubali. Sasa kama mimi nipo huku naona hawa watu wote ni wabaguzi kutoka na historia zao inawakuwaje mmarekani mweusi anashangilia kabisa kushinda kwa biden ambae pia alikuwepo kwenye serikali ya obama ambayo pia wanailalamikia iliwapa makundi yote marekani upendeleo fulani isipokuwa wao?
 
Ila mkunya sio mtu 🀣🀣🀣eti border should take a roughly 45 degree turn to the shoreline πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni kama vile baadhi ya watanzania wanaompinga Magufuli. Ila ishu ya Trump ilikuwa nzito zaidi, extrimist walizidi kujiamini na kama hali ile ingeendelea madhara yangekuwa makubwa zaidi.
 
Ila mkunya sio mtu 🀣🀣🀣eti border should take a roughly 45 degree turn to the shoreline πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tukipoteza kesi, sisi hao moja kwa moja twashtaki tz tupewe shamba la bibi
 
Ugua pole pole 🀣🀣🀣🀣
Nishapona sijui kuhusu raisi wenu🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Alafu anakuja fala mmoja kutoka Kunyaland nchi ambayo tumeiacha mbali kwenye suala la public transport anajifanya kushangaa, Wakenya bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nishapona sijui kuhusu raisi wenu🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Rais wetu hapangiwi ratiba na watu wa mitandaoni anapangiwa ratiba na watu wa system
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…