The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Taarifa yoyote unapoiwakilisha na ukakosea kdg basi taarifa hiyo huwa inaonekana kuelemea kwenye biasness.O
Oky hawajawekeza mtaji mkubwa. Ishu nzima ya uraia na uwekezaji hujaiona umeona wakenya tu!!!
mimi ni muumini wa sera za nchi yangu dhidi ya wageni mimi naona hazina tatizo lolote maana kwa serious investors ni rahisi kuwekeza tzWe jamaa unafikiri uraia ni pipi unatoa tu kirahisi hivyo. Hao jamaa wengi wao wanaokuja huku wana hela ya kawaida tu sio potential investors ambao wanaweza kujenga viwanda na kuajiri watu. Wengi ni youtubers tu ambao wanakimbia maisha magumu ya marekani na ubaguzi lakini sio kusema wana kitu kikubwa wanaweza kuongeza kwenye uchumi.
Uraia ili upewe lazima ukidhi vigezo ikiwa pamoja na kujua na kuingiliana na wananchi sasa hawa wamekuja juzi leo unasema tuwape uraia haraka haraka, alafu pia kumbuka Tanzania hakuna uraia wa nchi mbili.
Sheria ya uwekezaji ni nzuri sana kama wanakuja kuwekeza waungane wawe na dola laki tano wapewe eneo la uwekezaji na visa zinaongezwa tu muda kirahisi. Hii sheria pamoja na ya uraia zilitungwa kulinda ardhi kubaki kwa wazawa. Kenya, ghana na nigeria hawana ardhi kubwa ambayo mgeni anaweza kuhodhi hivyo wao na sisi ni tofauti sana.
Mbona husemi wakenya wapewe uraia kirahisi hivyo na ndio wamewekeza mtaji mkubwa au kwakuwa ni wamarekani?
Njoo pm mzee baba sitaki nikuabishe bure, usijali ukija nitakupa somo bure[emoji1787][emoji1787]ndiyo sijui nielekeze teacher jinsi mziki unavyolipa...
Tatizo kauli zake anazotoa zinamfanya aonekane hvo, haiwezekani wewe useme eti watu wachape kazi usiku na mchana alafu inatokea siku we haupo..kwani ni lazima kila kitu awepo president...?
Anakiuka sera na tamaduni zake mwnywe za kila siku za kujifanya bila yeye nchi haisongi..kwani akienda missing kipi kinachokusumbua....?
Amboseli kumbe nzuri
Kaka pitia vizuri mabango yangu yote hakuna mahali niliposema hawa jamaa wapewe uraia kwa urahisi rahisi zaidi ya kuzungumzia special status tu na sidhani kama ni lazima upewe uraia unapopewa special status nasema hiv kwa sababu sina uelewa mpana wa maswala ya kidiplomasia,ila kiufupi wanakuja wapo makanjanja ila pia wameanza kuibuka wakubwa don't underestimate bado kuna weusi wenye mitaji mikubwa ndani ya US na pia idadi yao si ndogo hasa ukilinganisha na uchumi wa nchi zetu za kiafrika.We jamaa unafikiri uraia ni pipi unatoa tu kirahisi hivyo. Hao jamaa wengi wao wanaokuja huku wana hela ya kawaida tu sio potential investors ambao wanaweza kujenga viwanda na kuajiri watu. Wengi ni youtubers tu ambao wanakimbia maisha magumu ya marekani na ubaguzi lakini sio kusema wana kitu kikubwa wanaweza kuongeza kwenye uchumi.
Uraia ili upewe lazima ukidhi vigezo ikiwa pamoja na kujua na kuingiliana na wananchi sasa hawa wamekuja juzi leo unasema tuwape uraia haraka haraka, alafu pia kumbuka Tanzania hakuna uraia wa nchi mbili.
Sheria ya uwekezaji ni nzuri sana kama wanakuja kuwekeza waungane wawe na dola laki tano wapewe eneo la uwekezaji na visa zinaongezwa tu muda kirahisi. Hii sheria pamoja na ya uraia zilitungwa kulinda ardhi kubaki kwa wazawa. Kenya, ghana na nigeria hawana ardhi kubwa ambayo mgeni anaweza kuhodhi hivyo wao na sisi ni tofauti sana.
Mbona husemi wakenya wapewe uraia kirahisi hivyo na ndio wamewekeza mtaji mkubwa au kwakuwa ni wamarekani?
Ngoja tuone.Duh! Huyu jamaa kadhamiria
Waaooo[emoji7][emoji7][emoji7]DSM IS FIREView attachment 1724331
Kaka sidhani kama wanastahili hiyo special status unless kuna kitu chanya wamekiingiza kwenye jamii yetu lakini sio kwa kigezo wao ni weusi. Ni wageni kama wageni wengine wawe treated sawa tu. Kama wahindi, wazungu na wakenya wamewekeza sana hapa na hawana special status zaidi ya kupewa eneo la uwekezaji kwanini hao wapewe uspecial? Kumbuka hatufaidiki chochote na rangi ya ngozi yao.Kaka pitia vizuri mabango yangu yote hakuna mahali niliposema hawa jamaa wapewe uraia kwa urahisi rahisi zaidi ya kuzungumzia special status tu na sidhani kama ni lazima upewe uraia unapopewa special status nasema hiv kwa sababu sina uelewa mpana wa maswala ya kidiplomasia,ila kiufupi wanakuja wapo makanjanja ila pia wameanza kuibuka wakubwa don't underestimate bado kuna weusi wenye mitaji mikubwa ndani ya US na pia idadi yao si ndogo hasa ukilinganisha na uchumi wa nchi zetu za kiafrika.
nifundishe hapa tu,,mbona kuzuri tu teacher mkuu ojwani maana hata wasio juwa kama mimi itakuwa faida kwao...Njoo pm mzee baba sitaki nikuabishe bure, usijali ukija nitakupa somo bure
kwa hiyo unataka tukusaidie nini...?Tatizo kauli zake anazotoa zinamfanya aonekane hvo, haiwezekani wewe useme eti watu wachape kazi usiku na mchana alafu inatokea siku we haupo..
kwa hiyo tukusaidie nini....?Anakiuka sera na tamaduni zake mwnywe za kila siku za kujifanya bila yeye nchi haisongi..
Manake sio kw kujitika kila kitu hapo tz hakimu ni yeye, polisi ni yeye, mkandarasi ni yeye yani mpka akili za watu kazishika yeye
hatariDSM IS FIREView attachment 1724331
Naona mama ngina ndio alipiga hio picha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Amboseli kumbe nzuri
wewe mbuzi wacha kujiweka mbele na mambo ya tz.Anakiuka sera na tamaduni zake mwnywe za kila siku za kujifanya bila yeye nchi haisongi..
Manake sio kw kujitika kila kitu hapo tz hakimu ni yeye, polisi ni yeye, mkandarasi ni yeye yani mpka akili za watu kazishika yeye
Tony kwa hwa waganda metonesha kidonda, watawafanyia zaidi ya sisi tulivyozuia ndege zenuHaahhahaa.
Yaani kumbe Uganda pia walikuwa wanalia kuhusu maize ban. Wamelia sana. Tulikuwa tunataka kuwakumbusha majirani zetu nani ndio superpower wa ukanda huu. Mumepiga nduru mpaka tukawaonea huruma.