Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Tahira kweli wewe hela watatoa wapi ya kwenye digital platform we kichaa au hujui pesa inaingia vipi .? Tena na korona hii no shows haya tuambie ushuzi wako pesa inapatikana vipi bila views na streams mwehu wewe.?Unajua suzzana imewaingizia shingapi we mzee wa views[emoji1787][emoji1787]
Narudia tena, wimbo ukiwa na views nyingi haimaanishi km umeingiza hela nyingi
Views kwn ni nn[emoji1787][emoji1787]View attachment 1722431View attachment 1722434View attachment 1722435kama akili zako zinakwambia ni umbea tu bas umefeli sana fala wewe . Angalia namba za views hizo komora096
Njoo pole pole ufundishwe vile mziki unavyoingiza pesa acheni kelele za views hapaTahira kweli wewe hela watatoa wapi ya kwenye digital platform we kichaa au hujui pesa inaingia vipi .? Tena na korona hii no shows haya tuambie ushuzi wako pesa inapatikana vipi bila views na streams mwehu wewe.?
We kumbe ni kichwa hamna .nyimbo ikitazamwa uko YouTube unalipwa pesa mingi tu per 1k views ,alkadhalka na streams . Ukiona kote ni failure hujue hanufaiki chochoteViews kwn ni nn[emoji1787][emoji1787]
We mbona mgumu wa kuelewa, kwhyo hzo zimelipa kuliko nyimbo zote za chini ya hapo kw views sio[emoji122][emoji122]
Mziki wa tz bila show za nje utakufa mskini[emoji1787][emoji1787]Hivi we bwege simba.kati ya sisi na ninyi akina nani washamba angalia wasanii bongo ndio mastaa wa hii mashariki ya Africa .take a look.. diamond in sieralion [emoji116] . Diamond arrive in Mozambique. . Diamond arrive in guinea bisau [emoji116] . Ikifkia kwenye masuala ya sanaa kaanae mbali sana na sisi hamtuwez hata kidogo sisi viwango vyetu ni Nigeria na South Africa bas
Hee tena. Haya una kitu gani cha kunifundisha mm naikiwa most successful artists in EA wapo bongo .?Njoo pole pole ufundishwe vile mziki unavyoingiza pesa acheni kelele za views hapa
Usijali mzee wa GDP bank account tzKwamba munaomba loan ya kudunga wakenya sindano [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mungu awape walau akili yakujikuna mumeisha wakenya
[emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116]Ukhekhekhekhekhekhe loan ya kudunga watu sindano [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee mpaka nimecheka
Usijali mzee wa GDP bank account tz
Ajabu kweli .eti bila show za nje mziki mnakufa na ikiwa ndio kwanza watu wanafungu record leble ..NLM by rayvanny 👇Mziki wa tz bila show za nje utakufa mskini[emoji1787][emoji1787]
Zaidi ya diamond na kiba mna mwngine, wazee wa video za south africa hamjambo..Hee tena. Haya una kitu gani cha kunifundisha mm naikiwa most successful artists in EA wapo bongo .?
Wasafi si ndio wanapiga show za nje[emoji1787][emoji1787]Ajabu kweli .eti bila show za nje mziki mnakufa na ikiwa ndio kwanza watu wanafungu record leble ..NLM by rayvanny [emoji116]
Andika kwanza kiswahili kizur tuelewane ..inamaanisha nini.?Zaidi ya diamond na kiba mna mwngine, wazee wa video za south africa hamjambo..
Yani nguvu nyingi zaidi ya uwezo wao
😂😂😂. U must be kidding. Willy Paul una mlinganisha na nani sasa.? Ngoja nikusaidie kukuonyesha wasanii international tofauti na wasafi hapo bongoWasafi si ndio wanapiga show za nje[emoji1787][emoji1787]
Wengine hata akina willy paul hawawafiki kihela na wakati wanategemea sana sana show za ndani..
We ndio wakunifundisha mimi kiswahili, hahaa!!kweli umelemewa na mada sasa ndio unatafuta pa kutokea..Andika kwanza kiswahili kizur tuelewane ..inamaanisha nini.?
Bwahahaha!!narudia tena, hapo tz mnakojisifia usanii bado kuna wasanii ambao hawamgusi willy paul na bahati kifedha..[emoji23][emoji23][emoji23]. U must be kidding. Willy Paul una mlinganisha na nani sasa.? Ngoja nikusaidie kukuonyesha wasanii international tofauti na wasafi hapo bongo
Fala kweli wewe .ona mmi nimezaliwa tanga ni mswahili haswa and for your information kiswahili nimesoma advance nakijua nje ndani.😂😂 Eti anataka kubishana na mm kuhusu kiswahili 😂😂😂We ndio wakunifundisha mimi kiswahili, hahaa!!kweli umelemewa na mada sasa ndio unatafuta pa kutokea..
Kw taarifa yako we huna hadhi ya kunifunza mm kiswahili
Ki mafanikio ya mziki,maisha n everythingKuwafikia kw lipi?
Kwhyo km umezaliwa tanga ndio iweje[emoji1787]Fala kweli wewe .ona mmi nimezaliwa tanga ni mswahili haswa and for your information kiswahili nimesoma advance nakijua nje ndani.[emoji23][emoji23] Eti anataka kubishana na mm kuhusu kiswahili [emoji23][emoji23][emoji23]