Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Twitter ndio kila kitu katika viongozi, punguza hasira lkn we najua kw akili zako umashuhuri ni kuwa followers wengi insta[emoji848]
Ikiwa domo tu anaiwakilisha tz poa lkn twitter milioni inamshinda kufikishaView attachment 1721969
Kwenye suala la umaarufu heb usije ukalinganisha diamond na mkenya yeyote yule kuwahi tokea tangu Kenya ilivyoumbwa. Punguani wewe
 
Insta kw tz basi ujue ni umbea wala hakuna lingine..
Kisha amesahau km vitu vya kutoka twitter ndio hu trend sana hata kuliko insta na upuuzi mwngine wowote ule..

Bado watapinga, lkn yale mapapai yalimfanya ajulikane manake sio pumba zile..then wasisahau walenya ndio wali hype sana ndio mpka ile issue ikachanja mbuga
 
We unawazimu nn, kuna mtandao unazidi twitter kwa umbea?
 
Magu alianza ku trend mda mrefu kutokana na uchapa kazi wake, umesahau issue ya makinikia?
 
Si ndio nakuuliza, manake uhuru ndiye kiongozi aliyekua na followers wengi twitter afrika nzima[emoji1787]

Unafikiria twitter nkm insta
So Uharo na Magu nani mashuhuri zaidi [emoji3][emoji3][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji216][emoji3545]
 
Kwenye suala la umaarufu heb usije ukalinganisha diamond na mkenya yeyote yule kuwahi tokea tangu Kenya ilivyoumbwa. Punguani wewe
Sema kw suala la umbea na kiki hatuwezi mlinganisha na yyte yule kenya..
Lkn eti umaarufu basi kuna wakenya maarufu hata kuliko huyo kikaango kenu domo...

Diamond ni levels za chini sana ukitoa kiki na umbea, we huoni jamaa antumia nguvu nyingi sana lkn bado hamna lolote..

Wasanii wakubw ni hawa hapa
 
Hebu nieleze ni nani maarufu Kenya kumzidi Diamond!![emoji848][emoji848]
 
Km insta ni umaarufu basi mbona viongizi mashuhuri hawaitumii kupost nayo vitu muhimu..
We unafikiria putin atapost kitu mhimu insta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…