The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Yani kwenye hili Wakenya ndio mmethibitisha jinsi gani Magu alikuwa ni mtu sahihi kuongoza nchi yetu mana iweje mumchukie wakati rais co wenu? Inashangaza sana.Hata SABC ya Sauzi Afrika inafuatilia kwa karibu mjadala wa Wakenya
View attachment 1721941
Tuwekee na ya Uhuru [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuwekee na ya Uhuru [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekaririshwa au we ndio umeitaja hyo likoni, peleka malalamiko basi ili ndio tuanze kulipiaInamaana hamuna service zingine au umekaririshwa likoni tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Tukileta za watanzani utasema ni ufioa au uwaseme eti wanatumiwa na mabeberu vibaya..Nchi imekufa wamebakia kulia na magufuli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
Mpost basi tumalize tatizoDereva wa lori alikufa akiwa safarini hakuuliwa na mtu na kama kuna media ilisema ameuliwa nitag[emoji2][emoji2][emoji2]
Hata ingekua munalipia mark my words hapo mungefika 2040😅😅😅😅😅😅Nimekaririshwa au we ndio umeitaja hyo likoni, peleka malalamiko basi ili ndio tuanze kulipia
Rais Uhuru alishafikisha 1M zamani sana. Mpo nyuma kwenye kila kitu.
Leta official source inayosema dereva aliekufa aliuliwa ukipata tag me nifunge acc sasa hviTukileta za watanzani utasema ni ufioa au uwaseme eti wanatumiwa na mabeberu vibaya..
la gorofa.Hili jengo kwa mbele hospital ya mloganzila ni jengo la niniView attachment 1721947
Nikimjua ndio atanisaidiaje, km wanataka tumjue wangelimtaja km vile familia ya odinga ilivyofichua..Wewe unamjua rais wa wapi aliyepo KNH?
Lazma afikishe kwasbabau ana muda mrefu kwenye urais au nasema urongoo😀😀Rais Uhuru alishafikisha 1M zamani sana. Mpo nyuma kwenye kila kitu.
Acha utotola gorofa.
Mm nataka uniletee source inayosema dereva wa lori aliuliwa nifunge acc sasa hviMpost basi tumalize tatizo
Wakenya kwenye twitter tuko vizuri, huo ndio ukweli hata sijui unacheka nini. Uhuru alikuwa na followers wengi kushinda rais yeyote ukanda huu kabla ya kutoroka twitter kwa kichapo alichokuwa akipokea kutoka kwa Wakenya.Tuwekee na ya Uhuru [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikimjua ndio atanisaidiaje, km wanataka tumjue wangelimtaja km vile familia ya odinga ilivyofichua..
Lkn huyo alioko hapo huenda ikawa ni mtu ambae anapenda sana kuficha maradhi, naskia haga kanisani hakwenda alisali nyumbani
Pesa zenu za kutoka GDP account ya tz huaga mnawekaga katika benki gani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] sisi tuna GDP sisi tuna budget kubwa sisi tuna nye nye nye nchi haiwezi kujenga hata km 1 reli
Magu [emoji116][emoji116]Rais Uhuru alishafikisha 1M zamani sana. Mpo nyuma kwenye kila kitu.
Zen let me ask you, btn Magu and Uhuru who's the most famous than the other?alikuwa na zaid ya 2m ila saiz kaideactivate