Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hiyo ni principle ya demand and supply . When demand is high , obviously price inakua kubwa and vice versa. Hakuna exception kua mteja lazima awe mkenya hata WFP wakija nunua price inakua kubwa
Sio cha demand wala nn, hapo linaongelewa swala la wakenya..
Hta hili pia unataka kupinga na wakati wakulima wenu mazao yao wakiuzia wakenya ndio wanatoa kwa bei nzuri sana kuliko wengine wote
 
Tatizo akili zako zimeganda, sasa hapo kipi kigeni kwetu
 
Kuna sehemu kuna mpishi a.k.a chef mkenya anajionaga kama nini sijui . Hadi nikimsikilizaga nacheka. Yaani hadi mpishi anijiona expert kama profesa gani sijui . Wakenya wana mbwembwe sana
Itakuwa kwenye ile meli ya Mv Victoria km sikosei [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hata sisi pia tunajengea watu wa chini mahospitali, sio nyinyi tu mnaoweza kufanya hivi. Afrika Mashariki inazidi kusonga mbele.
Tatizo tangia tuanze huu mjadala sijaona shule wala hospitali za watu wa chini wa dar km vile inavyofanya kenya..
 
Onesha miradi kama hii mombasa inayomgusa masikini moja kwa moja 👇👇
New modern market city center



Modern bus terminal nyamongoro



New bus terminal nyegezi



Mwanza new passenger terminal airport
 
Tukiwaambia Tz is a construction site hawataki [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Passenger terminal ya airport inamgusa vipi maskini wa chini alafu barabara isimguse
 
Kumbuka mwanza haina shida ya maji kwa asilimia zaidi ya 90 wakat mombasa ina shida ya maji kila kona kama nadanganya prove me wrong 🤣🤣🤣🤣

tafuta dampo la kisasa kama hili kenya nzima ukipata nitag 😀😀😀👇 mombasa imeoza kwa takataka kila kona au nasema urongoo
 
Tafuta modern hospital and biggest hospital like this in mombasa ukipata nitag🤣🤣🤣👇👇👇👇
 
Wapi nilijiita mkatoliki, unachizi kaka[emoji28][emoji23][emoji23] I don't believe in religion idiot., man-made ideologies in the name of God ndio janga kubwa hapa duniani, jua hilo.,
So, if you don't believe in religion how did you know the existence of God?
 
Naomba uwe na habari kua mwanza panajengwa daraja kubwa la kihistoria kwa africa mashariki na kati 3.2km na litakua na 6lanes
 
Wewe usiichukulie mwanza kama ile mwanza mulioiozea ya 90s 😆😆😆 nenda na wakati muda utakuacha bro mambo yamebadilikika mwanza karibia mitaa yote around the city center ni lami na ina mitaa ya kisasa ambayo mombasa utaisikia kwenye radio
 
Passenger terminal ya airport inamgusa vipi maskini wa chini alafu barabara isimguse
Kwani kitu kama airport kumgusa mwananchi wa chini mpaka huyo mwananchi lazima akauze maandazi na ubuyo hapo airport? Hayo mapato yanayopatikana hapo yakipelekwa kwenye sector nyingine kama afya, barabar, kilimo n.k hayamgusi mwananchi wa chini? USIKARIRI MAISHA BIBI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…