Nyinyi mmekua nyuma sana ndio mnajenga vi flyover na highway ya maana, plus ka brt.., we just look vile mnapata orgasms na vitu vya kawaida and by the way it is in Dar only[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]., Tz Tz Tz[emoji23][emoji23],Hapa safi progress inaonekana, hongereni japo hakuna uwezekano wa kuwa km render, but congratulations in advance, tunataka mambo km haya weka niweke na sio daily sisi tu ila nyie mko na expressway tu, ok[emoji122][emoji122] [emoji122][emoji122]
Duly noted.Brother personally nimetia hapo,inapendeza alafu finishing yake sio mbaya Naona itapendeza kushinda thika highway
Labda simu yake ya kitochi.Wewe upo Mombasa piga picha weka humu unaogopa nini ss [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
Jina "malazy" ni jina la utani. Usilichukulie kwa uzito wowote. Hii ni kama jinsi nyie mnatuita nyang'au au Wakunya.Lazy analimaje mahindi? Lazy anakunja mahindi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]don't confuse yourself pal
Tony Hali yako? Umeadimika Sana msela wanguJina "malazy" ni jina la utani. Usilichukulie kwa uzito wowote. Hii ni kama jinsi nyie mnatuita nyang'au au Wakunya.
Karibu Sana kwenye jukwaa🙂Tony Hali yako? Umeadimika Sana msela wangu
Tony Hali yako? Umeadimika Sana msela wangu
Haha. Asante. Ni shughuli ndio zimenikaba kidogo.Karibu Sana kwenye jukwaa🙂
Tupo tunapambana humu kiongozi pamoja Sana💪Haha. Asante. Ni shughuli ndio zimenikaba kidogo.
Wa Dodoma unaanza kujengwa mwaka huu pia! BTW umesahau wa Chato piaTukija kwenye viwanja vya ndege tulivyojenga ndani ya miaka miatano iliyopita ,JNIA. Mwanza international airport 👇
Kuna sehemu kuna mpishi a.k.a chef mkenya anajionaga kama nini sijui . Hadi nikimsikilizaga nacheka. Yaani hadi mpishi anijiona expert kama profesa gani sijui . Wakenya wana mbwembwe sanaMkunya sio mstaarabu asikwambie mtu nimeshasema mara nyingi amejaaliwa roho ya husuda,ukitaka dharau,majivuno ya kijinga na etc kaa naye utamuelewa tu, huaga wanaona wako special kushinda wote[emoji846]