Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi hawa wapuuzi wanaposema Tz kuna njaa sijui wanaangaliaga nini. Sisi tulikuwa na miundombinu hafifu, siyo njaa. Wajinga sana hawa wapuuzi.
 
POOR FARMERS FROM UG AND TZ, A FACT![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], unalialia nini, tafuna limau kimwanaume, ukweli usikutese. You are poor kubali ukatae, posing here as rich yet with otherwise screaming facts, nchi tajiri wananchi masikini, hand to mouth at most utaniambia nini wewe![emoji848] you try to hate on Kenya to cover for your embarrassing shortcomings, vumilia mnajiletea dharau wenyewe. Reasoning yenyu pekee has exposed udhaifu wenyu kwa ukubwa sana, software zenyu zimechoka sana, can't survive in the current world., mnaitaji ukombozi wa kiaina na wa kipekee. Watch how poverty will increase in Tanzania despite all, screenshot and save this post, siropokwi kwa shabiki za kijinga, mnaitaji ukombozi wa kimawazo. Ni Jambo la aibu na huzuni for Tz to have low lifes across[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22].,
 

Facts [emoji91][emoji91]
 
... addition; hakuna siku Tz imepea Kenya chakula bure, we buy, tuko na uwezo wa kununua popote tutakavyo, Kenya sio uchumi wenyu hafifu ambayo ni propaganda mnalishwa kisa wengi wenyu hamuna frame ya ku reason, dissent voice is silenced.
 
Facts zitawatesa hadi basi [emoji28].,Forces of supply and demand determines prices, production is low in Kenya in comparison to Ug and Tz, we have cash shida iko wapi?, si wewe uichangamkie hii fursa na utengeneze hela. Also it is obvious kwenye nchi masikini sana bidhaa huwa ni bei rahisi sana, standards ziko down., Tz ni ligi ya akina Uganda, Burundi, Malawi.n.k, na pia kama mngekua sawa mnavyo jidai watu vijijini wangekua matajiri mno, not merely subsistence farmers surviving on hand to mouth, eating to live and living to eat, nothing beyond, low life standards of living. Mulnutrition mnaongoza East Africa, chakula gani hizo mnakula[emoji848][emoji848].,
 
... addition; hakuna siku Tz imepea Kenya chakula bure, we buy, tuko na uwezo wa kununua popote tutakavyo, Kenya sio uchumi wenyu hafifu ambayo ni propaganda mnalishwa kisa wengi wenyu hamuna frame ya ku reason, dissent voice is silenced.
Hehehehee unani quote mara mbili mbili, hope sindano imepenya vzr [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hivi hawa wapuuzi wanaposema Tz kuna njaa sijui wanaangaliaga nini. Sisi tulikuwa na miundombinu hafifu, siyo njaa. Wajinga sana hawa wapuuzi.
Hakuna mtu alisema Tz wako na njaa, jaribu kusoma report uelewe what was being analysed and discussed. And why Tz is ranked low despite what you have as a country., wacheni kukua wepesi wa kukurupuka kabla ya kuelewa jambo.
 
kwahiyo wewe mbuzi nyinyi mna hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

na mnatumia bidhaa mahindi kutuzidi.
uwe unasoma kwanza kitu kabla upost.
 
Hehehehee unani quote mara mbili mbili, hope sindano imepenya vzr [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuelimisha mtanzania ni kazi ngumu sana, si wafahamu hilo kaka, haswa wewe ukiwa bingwa [emoji28][emoji23][emoji23][emoji28], lazima mtu atumie 'nguvu' nyingi[emoji23][emoji28][emoji28]., mtanyooka tu by force by fire[emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwahiyo wewe mbuzi nyinyi mna hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

na mnatumia bidhaa mahindi kutuzidi.
uwe unasoma kwanza kitu kabla upost.
Wewe unafikiria nini "mkuu"[emoji848][emoji848].,
 
tuna hela kuwazidi,tunakula vizuri kuwazidi.
Hehehe [emoji23][emoji28] results; mulnutrition[emoji23][emoji28], afadhali wangesema obesity kuliko utapia mlo.[emoji23][emoji28], hela ni wachache wajanja wa biashara wanazo, nyinyi wengine ni vijakazi condemned to poverty by serious capitalists in Tz., usipojanjaruka utabaki ulivyo tu.
 
saa hizi umeshasahau sisi si capitalist nation[emoji23][emoji23][emoji23].

kwanini mna akili zenye ram ndogo hivi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…