Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwahiyo corona inafanana na hayo uliyoyataja kwa kipi!!!!

mbona hata kutumia akili hamtaki??
Kwn polio na za uzazi zinafanana kw lipi, mbna mkeo anaenda kudunga..
Acheni kubebewa akili nyie, hakuta kitu kibaya km kupuuza bila ya wewe kuwa na mbinu mbadala..

Hapo unapinga alafu kesho uskie jiwe kaangiza utakuja hapa kusifu, bwege ni bwege tu mjomba
 
sikiliza wewe kadem kilaza,unajua side effects za uzazi wa mpango wewe,njia safe ni ya carenda peke yake.

kama kuna mwanamke hapa anajua nilichoandika,kawaulize wenzako wanaopata uvimbe wa kizazi watakwambia.

nimekuuliza polio na corona zinafanana kwa kipi hujajibu,umeparamia kingine.
 
wakati mbwa fulani wanataka kutukwambisha kwenye utalii kwa kuielezea corona nchini mwetu kila wanapopata nafasi,dunia bado inatambua tz ni nchi muhimu sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Na sasa tukifungua usafiri wa china kwa kutumia air tanzania tutafungua ukanda wa asia hususan kwenye utalii
 
Corona continues to prove how foolish Ubongolalas areView attachment 1717401
Kwa hiyo WHO wakiosema kitu basi kiko sahihi na yeyote anayefanya tofauti na WHO ni foolish. Jana kuna mwenzako nilikuwa nikimwambia namna gani mko brainwashed na wazungu akaona kama namwonea. Sasa wewe umekuja kuthibitisha nilichokuwa nasema.

Kwa kuzingatia idadi ya nyungu au mifukizo niliyofanya kwenye maisha yangu basi inapaswa nifungue mradi wa maji kwenye mapafu yangu!

Amkeni nyie lazy minds, mbona sie tunaojifukiza hatuna nongwa ila nyie ndiyo kila uchao kuangalia wazungu wanasema nini dhidi yetu. By the way hicho kirusi konky cha ajabu ajabu kilichoibuka kuanzia Januari kishachuja na we are now starting to forget about it.
 
These people are brainwashed my friend. Ukiangalia namna Obama na Marekani yake walivyowatwika mzigo wa Al Shabaab na namna wanavyopambana nao kwa "kuzingatia haki za binadamu", ukiangalia namna wanavyoingia chaka kwenye mega projects, na ukaangalia namna wanavyocheza ngoma ya akina Bill Gates na WHO kwenye corona unabaki kuwasikitikia tu.

They are almost done thinking on their own. Kila kitu ni "wazungu wanasema".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…