Kuna viwanda hapa Tz wanatengeneza mask poa kabisa hua wanaziuza MSD na watumiaji hua tunazigiza uko MSD, ziko na standard alieleza uyo jamaa,Za kuagiza kutoka nje ndio haziaminikiHizo hizo mask wanazotengeneza hao mnaowaamini na bado zinaonekana hazifai.
Kama Magu haamini ubora wa masks kutoka nje ya Tanzania, ingekuwa bora zaidi aanze mchakato wa kuziunda hapo Tanzania badala ya kudanganya watu wajitengenezee zao nyumbani! That's a disaster in waiting.Apa naungana nawe
I didn't even know you have a factory making masks. Hapo ndio sasa serikali inafaa kuelekeza pesa ili kuiwezesha kiwanda hicho kutengeneza enough masks. Lakini hii ya kuambia watu wajitengenezee zao nyumbani ni uchawiKuna viwanda hapa Tz wanatengeneza mask poa kabisa hua wanaziuza MSD na watumiaji hua tunazigiza uko MSD, ziko na standard alieleza uyo jamaa,Za kuagiza kutoka nje ndio haziaminiki
We ni fala wa kiwango cha diesel sgr, yn habari za Tz kuwa na viwanda vya kutengeneza barakoa huwa huzioni licha ya kuwa zinawekwa humu usiku na mchana.I didn't even know you have a factory making masks. Hapo ndio sasa serikali inafaa kuelekeza pesa ili kuiwezesha kiwanda hicho kutengeneza enough masks. Lakini hii ya kuambia watu wajitengenezee zao nyumbani ni uchawi
Sisi face masks tunazotumia zinatengenezwa papa hapa Kenya kule Kitui County. We do not import tangu tuanze kujitengenezeaHizo hizo mask wanazotengeneza hao mnaowaamini na bado zinaonekana hazifai.
Mbona basi mnaambiwa mujitengenezee nyumbani? Kuwa na kiwanda sio issue. The issue is that does it produce enough? (if any). Unawezeka kuwa na kiwanda lakini haizalishi chochote na maybe ndio maana mmaambiwa mjitengenezee nyumbaniWe ni fala wa kiwango cha diesel sgr, yn habari za Tz kuwa na viwanda vya kutengeneza barakoa huwa huzioni licha ya kuwa zinawekwa humu usiku na mchana.
Mbona basi mnaambiwa mujitengenezee nyumbani? Kuwa na kiwanda sio issue. The issue is that does it produce enough? (if any). Unawezeka kuwa na kiwanda lakini haizalishi chochote na maybe ndio maana mmaambiwa mjitengenezee nyumbaniWe ni fala wa kiwango cha diesel sgr, yn habari za Tz kuwa na viwanda vya kutengeneza barakoa huwa huzioni licha ya kuwa zinawekwa humu usiku na mchana.
Sanitizer,na zile ppe zote tunatengeneza hapa...Kitu bado ni chanjoWe ni fala wa kiwango cha diesel sgr, yn habari za Tz kuwa na viwanda vya kutengeneza barakoa huwa huzioni licha ya kuwa zinawekwa humu usiku na mchana.
Mbn una argue kichizi hivi? Km tuna factory ndo iweze kutosheleza mahitaji yote?Mbona basi mnaambiwa mujitengenezee nyumbani? Kuwa na kiwanda sio issue. The issue is that does it produce enough? (if any). Unawezeka kuwa na kiwanda lakini haizalishi chochote na maybe ndio maana mmaambiwa mjitengenezee nyumbani
Wapi Magufuli alikataza kuvaa barakoa?, tangu mwanzo alisema tusiamini barakoa kutoka nje ya Tanzania, alichokataza ni 'lockdown na sheria zote zinazozuia watu kufanya kazi na kuchanganyika, bado anaendelea kusisitiza kwamba barakoa za nje sio salama, wivu wenu ndio inaosababisha kulazimisha kwamba alikataza barakoa ili kutaka kuonyesha kwamba ameshindwa.Sasa mkivaa barakoa inamaanisha mnatuiga?Mbona husemi mnaiga Uganda, Rwanda na nchi zingine zote duniani ambazo watu havaa mask? Na sisi basi tuliiga nani tulipoamua kuvaa mask?
Ulianza kwa kuuliza nikupe evidence kwamba Magu alisema muanze kuvaa mask. Baada ya kukuaibisha sasa umebadilisha gear unaongea mambo na kuiga!!
Huyu dingi ashajuaga wakenya ni mazezeta cheki anavo wachanganya daaah! mpaka huruma 🙂Hizi ndio guidelines mnazozifata!
Kwenye "sosho distensi" pia naona wameachana mita tatu tatu
View attachment 1716153View attachment 1716154View attachment 1716155View attachment 1716156
According to wakunya, hapo wanafuata guidelines zilizowekwa na wizara ya afya ya failed stateHuyu dingi ashajuaga wakenya ni mazezeta cheki anavo wachanganya daaah! mpaka huruma
Achana na mambo ya maybe kwenye ulimwengu wa kisasa. Nenda youtube angalia Muhimbili National Hospital wanatengeneza barakoa 54k kila siku. That's more than 1.5m badakodas (in Magu tone) per month.Mbona basi mnaambiwa mujitengenezee nyumbani? Kuwa na kiwanda sio issue. The issue is that does it produce enough? (if any). Unawezeka kuwa na kiwanda lakini haizalishi chochote na maybe ndio maana mmaambiwa mjitengenezee nyumbani
Pindi Niko huku matatu yanapakia abiria kama kawaida hawa mabwana huaga wanapenda kufurahisha media za nje Ila ikifika kwa ground mambo tofautiAccording to wakunya, hapo wanafuata guidelines zilizowekwa na wizara ya afya ya failed state
Zile barakoa ambazo zinashahuriwa kuvaliwa masaa manne wao wanazivaa wiki nzima na zikichafuka wanazifua wakati zile hazitakiwa kufuliwa...vaa masaa manne ivue tupa vaa nyinginePindi Niko huku matatu yanapakia abiria kama kawaida hawa mabwana huaga wanapenda kufurahisha media za nje Ila ikifika kwa ground mambo tofauti
Nakumbuka kauli za huyu mwamba🙂 nacheka mwenyewe🙂 namuonea huruma kwa kutuita wengine fukara mara hatuna uwezo wa kufanya mambo flani🤣🤣🤣🤣🤣
Wakenya wote ndo wako hv ku pretend maisha japo wachache sana hawana tabia za kipuuzi kama hizi.Nakumbuka kauli za huyu mwambanacheka mwenyewenamuonea huruma kwa kutuita wengine fukara mara hatuna uwezo wa kufanya mambo flani
Mkuu unajua nini kuhusu kutengeneza masks yako nyumbani? Kwanini ni disaster in waiting? Sio Magu tu hata huko kwa mnakowaabudu wanaelewa umuhimu au unaweza kutengeneza mask yako mwenyewe.Kama Magu haamini ubora wa masks kutoka nje ya Tanzania, ingekuwa bora zaidi aanze mchakato wa kuziunda hapo Tanzania badala ya kudanganya watu wajitengenezee zao nyumbani! That's a disaster in waiting.
Hapa Kenya almost all masks are made locally at a factory in Kitui County. This is what Magu should do badala ya kupotosha watanzania
Alafu ss ukakute kanaongelea development individually unaweza ukadhani ni kweli kako njema, kumbe ni kachokoraa ka MathareNakumbuka kauli za huyu mwambanacheka mwenyewenamuonea huruma kwa kutuita wengine fukara mara hatuna uwezo wa kufanya mambo flani