Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata mimi nimeshangaa. Yaani hio Tsh 30k si ni ksh 1,500. Yaani rent huko ni cheap vipi? Yaani nyumba ni ya mawe na imepigwa rangi vizuri na ni ksh 1,500. Nairobi kurent nyumba ya mawe/matofali ni around ksh 4,500 kuenda juu.
Yani maisha ya watu wa kawaida dar ni sawa tu na maisha ya watu wa kawaida hku kwetu mashinani kw kenya..

Mtu wa kutoka kilifi ana mudu maisha vizuri dar lkn wakutoka buza hawezi mudu maisha ya nairobi
 
duuh yani mmeziclasfy kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti mawe na tofali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usimlaumu sana, kiswahili hajui vizuri na mbona mwnwye pia keshalisema hilo..

Sema tu ilikua hajui atueleze kivipi kw kiswahili fasaha
 
I would advise you to look for places you can afford. Nyuma ya Afya Center kuna vibanda vya kula unaezaenda kunywa uji na mahindi choma huko[emoji1787][emoji1787][emoji23]. Kama huko ni mbali nenda nyuma ya TUK pia utapata vibanda.
Ahsante kwa kukubali Nairobi kuna vibanda😄😄
 
What meaningful thing did u do to fight against Corona VIRUS that we Tanzanians did not do? Wearing masks, night curfew/lock down, washing hands? If it was that simple to defeat corona by these simple hygene procedures then chinese, europeans, americans and others would have not lost millions of people. Infact, the only thing that Tanzania did not do in fighting the corona virus is the stupid night curfew or lockdown? SO DON'T BOAST JUST PRAISE THE ALMIGHTY GOD FOR PROTECTING THE AFRICA CONTINENT!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…