Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huo ugonjwa uko kila mahali na ni hao wazungu waliusambaza duniani kabla hawajaitaja nchi yyte wakumbuke chanzo alikua nani
Iweje leo iko Tanzania? 😂 😂 Ugonjwa Kama huu haufichiki kaka!
 
Tofauti kati ya Italian technology na Chinese kwenye leather industry is astonishing 😅😅😅

Haijalishi kama Ethiopian was once defeat Italian in Menelik

 
Nimekutana na BRT ya Nairobi sema waliifungua kidogo ipumue[emoji2]View attachment 1711031
Hahaha kwa hivyo leo ulikuwa Tom Mboya avenue. Nilikuwa hapo Monday ila eneo lenyewe watu huwa busy hawana shughuli na mtu. Dar pia watu wako busy hivyo au huko mmetulia tu. Mnatembelea polepole na kusalimiana?
 
Hio iko affordable. ni ksh 4k. Ikija Kenya bora ni pure leather nitainunua. Jitumeni kibiashara mzilete huku mpige pesa ndefu. Hata hamna competition maana Kenya sidhani kama tunaunda vitu kama hivyo.
Hua muungwana sana ni vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…