Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Attachments

  • 1614156679971.png
    44.4 KB · Views: 16
Aliyekuambia hyo ni Dar nani?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Umetoka kuomba usaidizi kwenye slums za kenya, zimekushinda sasa umegeukia India πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…



Nairobi pekee Ina zaidi slums 15 na me nimeweka 5 tu mpaka saivi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hapa ni masikini wa mwisho anaishi

Yaani hata pa kuanikia nguo shida, means bigger population in a limited space and resources thus slum

Being vertical or horizontal slums are slums πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

View attachment 1710685
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umenibamba.., hapo sasa kote kote, na bado ni slum., a town in Tanzania.,



 
Umetoka kuomba usaidizi kwenye slums za kenya, zimekushinda sasa umegeukia India πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

View attachment 1710699

Nairobi pekee Ina zaidi slums 15 na me nimeweka 5 tu mpaka saivi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Weka zote ata kama ni mia, pia na drone views ukitaka, so that tuone tujue vyema., unaogopa nini, wewe ni ku cherry pick vipicha kutetea your skewed reasoning, hehehehe, Dar is the shit if Nairobi is the hole,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, just stay there, tulia hapo hapo...,
 
Tz ni Dar tu ndio imezingua baadhi ya sehemu lkn kwengine kuko poa nenda Lindi, Tanga etc kupo vizuri.
 
Leo ndio unasema hutaki evidence? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Leo umekua wapi kaka? kule utokako hawajambo?.., mambo concreteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, haipingiki., ni kiswahili tu nasoma
 
DSM kuna changamoto Zake Ila sio kama za NaiπŸ™‚mko level yenu
 
Tz ni Dar tu ndio imezingua baadhi ya sehemu lkn kwengine kuko poa nenda Lindi, Tanga etc kupo vizuri.
Endelea hivyo, kumbe sasa umekubali., na sio baadhi ya sehemu, ni sehemu kubwa kwa asilimiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Oya mkuu nipo ndani ya daladala nacheka kinoma noma [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Mislum dwellers yameshindikanika πŸ˜…πŸ˜…
 
Kwn we unayeongea hapa haujui kwmb kuna Wakenya wenzio wa humu wanaishi Dar? Ni walimu na wanaijua Dar vzr sn kuna mmoja anaitwa Engineer levin Devin yeye ni mkenya anayefundisha hapa tz nafikiri anafundisha primary lkn ni English medium, yeye huyu bwn ukimkuta humu anaponda Dar lkn kwenye ya instagram kaweka lipicha likubwa la Dar akionesha kuipenda, na huwa hamuondoki mkishaonja maisha ya Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Dar ipo ipo tu, bado ni kijiji sehemu kubwa sana to be called a serious city kwa muonekano kaka, napenda tu utulivu wake., nachukia joto kama vile Mombasa tu., maisha ni same na ya Mombasa, hakuna tofauti hataa.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…