Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hahaha umeanza kulia lia.
Angalia hapa nilivyokuambia leta hayo majengo:-
 
These are all older than yours with better architecture. I already posted five.
So I need beautiful buildings per the comment i posted:-
 
In my view they are better than yours save for the two towers
 
Angalia hapa nilivyokuambia leta hayo majengo:-

ndio maana ushaanz kuogopa hapa ni dar na hakuna hata one glass building in sight. next time annael anza mjadala unaweza maliza.
 
These are all older than yours with better architecture. I already posted five.
Kwahiyo ndiyo umemaliza hivyo to. You must be kidding.
Majengo uliyopost ni mabaya mno.
 
View attachment 536113
ndio maana ushaanz kuogopa hapa ni dar na hakuna hata one glass building in sight. next time annael anza mjadala unaweza maliza.
Tatizo unajichetua tu. Nimekueleza majengo marefu yanatakiwa kuwa glass. Mbona unakimbia bila breki?
Umekimbia kwenye kimbembe unakuja huku. Nimekueleza Dar ni kubwa utachagua popote tu.
Leta hizo glass buildings hapa mbona unakimbia?
 
Annael umechagua mada ambayo utashindwa
Kama unaweza njoo. Tayari nimeshakugonga umeweka vibanda vyenye chupa pembeni leta majengo ya glass siyo hayo majengo mnajenga kama makaburi. Mnatia kinyaa East Africa. Design za kishamba mnatuletea hapa.
Hizi hapa issue za kijanja. Na kuna lingine hapo pembeni linapanda. Mtakoma sana

 
ulipost tatu endelea bado tunahesabu wacha kulialia.
Nime post nne
1. TPA tower
2. PSPF Towers
3. LAPF tower
4. Faykat Tower
Sasa nyie mnatupi uchafu hapa, mnatia kinyaa.
 
https://www.facebook.com/
 
Nime post nne
1. TPA tower
2. PSPF Towers
3. LAPF tower
4. Faykat Tower
Sasa nyie mnatupi uchafu hapa, mnatia kinyaa.
nikileta picha za Upperhill unainua mikono juu kaka...dar ina CBD ngapi kama si moja tu? ila ukija nai utapata CBD tatu na zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…