Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Wabongo wanajua mpaka balozi wa nyumba kumi wa kenya, mimi rais wao sijui ni diamond ama π πAnajua kila ward na MCA wao. Hawa watanzania wanajua women representatives wote from one county to the other. Watakuambia kitu imefanyika Garissa even before wewe mwenyewe ujue.
Mzungu akipanda farasi utasifu, punda tutapanda ikikuuma nenda ukazae.
Is this Nairobi?[emoji23][emoji23][emoji1787]
Yah bcz Watz wanapenda sana kusoma.Anajua kila ward na MCA wao. Hawa watanzania wanajua women representatives wote from one county to the other. Watakuambia kitu imefanyika Garissa even before wewe mwenyewe ujue.
So Kenya is Only Nairobi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Is this Nairobi?[emoji23][emoji23][emoji1787]
Malazy na kusoma wapi na wapi, illiteracy kibaoYah bcz Watz wanapenda sana kusoma.
Yah bcz Watz wanapenda sana kusoma.
So Kenya is Only Nairobi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Punda tutapanda kokote, huna hoja.So Kenya is Only Nairobi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
EvidenceJamaa alikuwa anaongelea Nairobi.
Hili gari huwezi kuliendeshea kwenye barabara za Africa maana hatuna expressways halafu barabara zetu zimeundwa kwa kutumia bumps kibao ili kupunguza speed. Barabara zetu zimeundwa kupunguza speed na pia zinataka magari yenye ground clearance kubwa ili kuweza kuvuka bumps. Hili gari hata haliwezi kuvuka bumpswakulungwa..... hii gari inaitwaje? View attachment 1708377View attachment 1708378View attachment 1708379View attachment 1708380
[emoji115][emoji115][emoji115]Licha ya kelele zote humu Nairobi kuna watu wanatumia punda mjini, Daah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Evidence
broh so unabisha apo sio dar? au ...Hili gari huwezi kuliendeshea kwenye barabara za Africa maana hatuna expressways halafu barabara zetu zimeundwa kwa kutumia bumps kibao ili kupunguza speed. Barabara zetu zimeundwa kupunguza speed na pia zinataka magari yenye ground clearance kubwa ili kuweza kuvuka bumps. Hili gari hata haliwezi kuvuka bumps
Halafu nataka evidence kama hapo ni TZ. Maana cocacola ni international brand hapo panaweza kuwa popote duniani. Hapo sio Dar.broh so unabisha apo sio dar? au ...
nyie jamaa bana ππππππHalafu nataka evidence kama hapo ni TZ. Maana cocacola ni international brand hapo panaweza kuwa popote duniani.
Kwa hivyo huyo ng'ombe anavuka vipi kwenye speed bumps?nyie jamaa bana ππππππ
mbona yapo mengi tuu apa dar anyway kuna costa apo nyuma imeandikwa city bus dunianzima za hivyo znapatkana tz tuu