Naona mshale imepenya. Sasa tukianza kulinganisha different places between Nairobi and Dar is slum si mtabaki mkilialia tu hapa?Daah aisee mpk inasikitisha kwa kweli, yn hz picha zinazunguka hz hz daily, hv Wakenya Nairobi ni hapa tu na vi estate baasiii.
Kumbe kw juu ni kibanda hivi jamaniMlimani cityView attachment 1708466View attachment 1708467View attachment 1708468
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Unajua ya kwamba kukiwa na easy of movement pia kunachangia katika ukuaji wa uchumi..au hulijui hilo weweUnaweza kutueleza serekali ya kenya itafaidika vipi?? Kwa miaka 30 [emoji3][emoji3][emoji3]
Bwahaha!!sgr tz kw sasa haina plan hyo labda badaeKwani reli imeisha?tulia acha pupa
Sensor ndio nn kwa mabaharia, we unamchezo sanaReli yote imewekewa sensor...guess unate
Si ni dar tuJangwani apo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nlkua namchoresha tuuAkili hana uyo nmeona reply yake nkaishia kucheka, ofcz Wakenya wengi wapo hvyo yn ni wagumu mno kuelewa.
Ha haaaSensor ndio nn kwa mabaharia, we unamchezo sana
ASA kuwa na uchafu ni sifa🙂?Yaani na uchafu huu wote Bado kenya. imaishinda tz zaidi....just imagine
Kama vile huna habari na anacho kizungumzia 🙂umewahi kuandika tu😀Lipia kifurushi chako cha dstv acha kupenda vya bure
Nani kakwambia fance kwenye sgr hamna? Itawekwa muda ukifikaSasa badala hyo akili mtumie katika mradi wa sgr mnakuja kuficha nguzo..
Nani ataiba nguzo, ngojeni wapigaji waanze kuivamia sgr ndio mtajua umuhimu wa fence kw reli pia
I love my mother land Tanzania 💪💪💪Wameweka hiyo fence ya wire..atleast pamesaidia...otherwise chingaz wangeweka vibanda hapo..
View attachment 1708426View attachment 1708427
Watoe wapi? Wiki hii ntakuwa Nairobi we subiri uone maajabu🤣🤣🤣Nairobi hakuna interchange yenye fence
Nyie ndo wezi wa scraper bongo hatuna Tabia za hivo🙂Sasa badala hyo akili mtumie katika mradi wa sgr mnakuja kuficha nguzo..
Nani ataiba nguzo, ngojeni wapigaji waanze kuivamia sgr ndio mtajua umuhimu wa fence kw reli pia
Tanzania itaendelea kulisha nchi zote jirani mpaka kiama, huyo jamaa pamoja na kwamba kaajiriwa kwenye ujenzi wa daraja lakini anasema pesa anayopata anatumia kununulia pembejeo za kilimo KataviUpdate: The 3.2 km Kigongo-Busisi bridge Mwanza
Tanzania haiwakauki yaaniHawana kitu kinawasumbua kichwa kama tanzania 😄😄😄