Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uko bize huwezi piga picha yet unashinda hapa ukitafuta picha za Kibera? Una akili wewe? Hivi hizi zimepigwa na tumbili? 🤣 🤣 🤣

View attachment 1708190
Sasa we linganisha hapo na huku kwenu alafu hapo ni wapi dar? Maana hizi picha ni mathare,Soweto,mukuru,na korogocho👇👇👇👇 👇👇👇🙂
 
Attachments

  • Screenshot_20210221-134647_DuckDuckGo.jpg
    131.7 KB · Views: 23
  • Screenshot_20210221-134617_DuckDuckGo.jpg
    86.8 KB · Views: 19
  • Screenshot_20210221-134549_DuckDuckGo.jpg
    68.5 KB · Views: 21
  • Screenshot_20210221-134530_DuckDuckGo.jpg
    93.6 KB · Views: 17
  • Screenshot_20210221-134511_DuckDuckGo.jpg
    95.5 KB · Views: 20
  • Screenshot_20210221-134432_DuckDuckGo.jpg
    106.3 KB · Views: 20
  • Screenshot_20210221-134417_DuckDuckGo.jpg
    108.1 KB · Views: 20
Sio mbaya ikiwa new loan ina lower interest rates na favourable terms kushinda the old loan.
Aliekudanganya nani ina lower interest hvi nyinyi na ushuzi wa GDP mumefkia hatua ya kumkopa paul kumlipa john 😁😁😁😁 huo uchumi munaoimba kila siku uko wapi??
 
Aliekudanganya nani ina lower interest hvi nyinyi na ushuzi wa GDP mumefkia hatua ya kumkopa paul kumlipa john 😁😁😁😁 huo uchumi munaoimba kila siku uko wapi??
Boss haya ni mambo ya finance na sijui mbona huelewi. Kukopa loan ambayo ina lower interest rate ili kulipa loan yenye higher interest rate ni jambo nzuri. Ama unataka nikuonyeshe na example?
 
ndiyo maana tunawaambia kuwa hamuijui dar,,,,,
tuendelee hivyo hivyo[emoji1787][emoji1787]

tuendelee kuishi kwa picha za roof zenye kutu
🤣🤣🤣 Tunaijua vizuri Sana. Tunajua humo uswahilini ukitoka main road, Hamna barabara ya kami. I was shocked even in your high end neighborhoods kuna barabara za tope. Agree with the truth - Dar si ligi ya Nairobi.
 
Yaani posh areas zao zina barabara za matope? Dah!
 
Sasa we linganisha hapo na huku kwenu alafu hapo ni wapi dar? Maana hizi picha ni mathare,Soweto,mukuru,na korogocho👇👇👇👇 👇👇👇🙂
Relax, it was just proof that people actually take photos in Dar. Hizo picha mnazorudia constitute a very tiny section of Nairobi and you know it. Dar 90% ni Uswazi.
 
Sasa we linganisha hapo na huku kwenu alafu hapo ni wapi dar? Maana hizi picha ni mathare,Soweto,mukuru,na korogocho[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] [emoji116][emoji116][emoji116][emoji846]
Oyaa hizi picha muwe mnatupa [emoji615] mkiwa mnapost.
Niko nakula hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…