Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

rudia tena ongeza sauti hatujakusikia,,,,,,wala hatujakuelewa
 


Mkuu nadhani hii imekaa vizuri zaidi[emoji3516][emoji3516]
 
HALAFU TZ HAMNA POICHA ZA ESTATES NZURI ZA KWENU NA TUZIONE
zipo sema hatuna estate zakufana nyingi .....

tupo tofauti na nyie ,,kwa kifupi tuna mifumo tofauti tofauti nyie mmetuzidi kwa wingi wa estate pekee na sisi tumewazidi upande kwa wingi wa ujenzi wa kila mtu kumiliki nyumba yake na kujenga design aipendayo
 
faoro pumzi imeisha?! na picha zako za kuokota?!karibu Dar es Salaam ujionee mwenyewe kuna mwenzako mmoja alikuja akaishia kutafuta mtaa wa mabanda hakuupata!Hasira zilimjaa mno.
 
Mkuu sasa hivi uku kwetu Corona ndo imepamba moto, tuliwacheka mlivyochukua hatua sasa ni zamu yetu kuzikana.
Hii serikali ya ccm Haina mpango na sisi watanganyika ..ngoja tuendelee kufiana

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
huwa hamnaga kipya cha kupost hapo nairobi zaidi ya estate[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ambazo kila siku ni hizo hizo tu

hapo ndiyo mwisho wenu
NYI na nyinyi hamna cha ku post isipokuw aubungo bridge na zile ghorofa tatu zilijengwa juzi
 
Mkuu, kuna airport inajengwa kule Mtwara pia na Wachina walewale waliojenga Mkapa Stadium, kampuni ya BCEG(Modern Stadium in Sub Saharan Countries except Soccer City in RSA)
 
Mkuu sasa hivi uku kwetu Corona ndo imepamba moto, tuliwacheka mlivyochukua hatua sasa ni zamu yetu kuzikana.
Hii serikali ya ccm Haina mpango na sisi watanganyika ..ngoja tuendelee kufiana

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hata hivyo naipenda sana imani ya rais wenu kwamba kila kitu kitakuwa shwari... Ana imani sana kwa Mwezi. Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…