Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1613814537398.png

1613814552604.png

2nd tallest bulding in east africa locatated in nairobi
 
Kitu ambacho kinanikera mimi kwa Tanzania yangu ni kuona miji yetu ikiendelea kukua pasipo kudhibiti makazi holela ifike mahali tuseme inatosha, Watanzania wana uwezo wa kujenga nyumba nzuri sana shida haziko kwenye mpangilio mzuri na wahusika wamenyamaza tu.Hili ni jukumu la serikali kupanga miji.. tunaweza kuanza na simple solutions tu,mtu asiruhusiwe kujenga nyumba bila kuripoti serikali za mitaa aje na ramani yake at least watusaidie kutuelekeza nyumba zigeukie wapi na kuziweka kwny mstari mmoja...na pia wainishe ni wapi miundo mbinu ya msingi itapita,Serikali isione uvivu kununua au kujitengea ardhi kwa ajili ya shughuli za umma hata huko ambapo kwa sasa ni maporini.. maana ndo makazi ya baadae....
 
SEMA SA
WACHA PICHA ..HII HAPA VIDEO YA NAIROBI EASTLANDS

SA BABAA...BADO TUKO MBELE DONT JUST TAKE A SMALL DIRTY STREET HALAFU UHARIBU JINA LA JIJI ...SASA HUKU NDIO 3RD CLASS WANAISHI
 
wivu? sisi au nyie mna wivu wa mpaka kutengeneza stats za kupika ati Kenya ina 70 vehicles per capita na Tanzania ina 7 vehicles per capita! Angalia miradi ya kifalafala isiyokuwa planned ahead! Kisa Mchina katoa mkopo!

2696659_1613813889657.png
Katoa mkopo wa shilingi ngali vile
 
Back
Top Bottom