Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijui, nielimishe nijue.

Most of africans for PHD au masters Wa naenda Abroad au in Africa wanaenda SA maybe, so unakuta paper nying za research zimekuwa published huko hizo universities na kuzipa credit hizo Universities ..and thus because most of Universities are Young yan hazijazishwa muda mrefu ..ndo maana hata cku moja Oxford university..haitakuja kushuka ..cause ina Umri mkubwa na paper nying na research zimefanyika hapo ..watu wameshnda nobel prize wakitokea hapo ..
2bc80e8a586b449437a9ff311b8fa20a.jpg
 
published academic materiales
Influence of alumni to world and society
research and innovation

Yeah ..ndo maana inakua ngumu sana ..south african universities kufikiwa ..because bado wanafunzi kutoka kenya ,tz au ug wataenda SA na bado wata publish papers kwa kutumia the name ya hio Uni ..na kuzipa crdt hizo Uni
 
mbona watu wana machungu ni kama orodha ya LDC ilitokea Nairobi. ...hahaha.
 
Back
Top Bottom