Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anasahau dunia ya sasa inapambana na mabadiliko ya tabia nchi mf. Elon Musk ni issue ya mwaka mmoja kapindua meza kwenye utajili kupitia Tesla na baadhi ya project nyingine... Nchi nyingi zilizoendelea zinaachana na magari ya mafuta kulinda mazingira
TZ hamna hata gari moja ya umeme mnataka kujilinganisha na marekani? Dah!
 
TZ hamna hata gari moja ya umeme mnataka kujilinganisha na marekani? Dah!

Mambo yanabadilika kiongozi, so mpaka tupate walau gari la umeme ndio tujihakikishie umeme wakutosha? Yayajayo yanafurahisha mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…