so tuambie media ya kenya ndio iliompima corona?? Kwann sisi wahusika hatukutangaza hvoTaarifa ya BBC ndio unataka? Ndio hii hapa
Zanzibar - BBC News
Stay informed with the latest news, video, live updates and expert analysis about Zanzibar from across the BBC.www.bbc.co.uk
Kinachoniuma ni jinsi nchi nzima imejaa vilaza wa kudanganywa kama watotoTunajua kinachowauma ni utalii, kwa taarifa yenu hatutaacha kuwapiga gap la utalii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
So wewe ulitaka vp kwamba magu afunge nchi au aweke curfew?? Kila nchi inapambana na corona kwa njia yake musilazmishe tanzania ifate ujinga wenu ndio maana leo munashangaa kurudi nyuma zaidi kwa ajili ya lockdownKinachoniuma ni jinsi nchi nzima imejaa vilaza wa kudanganywa kama watoto
Kwani BBC ni media ya Kenya? Halafu mtatangaziwa vipi wakati mkulu hataki watanzania wajue ukweli kuhusu uwepo wa kovidi? 😂so tuambie media ya kenya ndio iliompima corona?? Kwann sisi wahusika hatukutangaza hvo
Hata kama sio ya kenya kwann nyinyi mutangaze munauhakika gani sisi tunazungumzia kenya mbona uganda au rwanda hatujawaskia wakitangaza na kuingilia vitu haviwahusu, kwani kuna mtu hajui kua covid hakuna kwani rais anaposema tuchukue tahadhari anakua namaanisha nn? Au kichwa chako bogaKwani BBC ni media ya Kenya? Halafu mtatangaziwa vipi wakati mkulu hataki watanzania wajue ukweli kuhusu uwepo wa kovidi? 😂
Sawa sisi tuko na ujinga. Mbona huo uerevu wenu haihazuia moja wa makamu kuangushwa na corona. Na pia mbona haijazuia mataifa za kigeni kutoa Ilana dhidi ya Tanzania?So wewe ulitaka vp kwamba magu afunge nchi au aweke curfew?? Kila nchi inapambana na corona kwa njia yake musilazmishe tanzania ifate ujinga wenu ndio maana leo munashangaa kurudi nyuma zaidi kwa ajili ya lockdown
Kwani vifo vya corona kwenu vimeanza leo au tuseme yusuf haji kafa na corona?? Kwann munaimgilia vitu haviwahusu wakat vya kwenu vinawatoa kamasi masikioniSawa sisi tuko na ujinga. Mbona huo uerevu wenu haihazuia moja wa makamu kuangushwa na corona. Na pia mbona haijazuia mataifa za kigeni kutoa Ilana dhidi ya Tanzania?
Wewe ukileta hapa taarifaa za matukio Kenya usiku na mchana inakuhusu nini?Hata kama sio ya kenya kwann nyinyi mutangaze munauhakika gani sisi tunazungumzia kenya mbona uganda au rwanda hatujawaskia wakitangaza na kuingilia vitu haviwahusu, kwani kuna mtu hajui kua covid hakuna kwani rais anaposema tuchukue tahadhari anakua namaanisha nn? Au kichwa chako boga
Huwezi kutoa ilani na huna uhakika wa jambo kwani vifo vimeanza leo??? Mbona kuna maradhi yanaua watu kila siku hamusemi??Sawa sisi tuko na ujinga. Mbona huo uerevu wenu haihazuia moja wa makamu kuangushwa na corona. Na pia mbona haijazuia mataifa za kigeni kutoa Ilana dhidi ya Tanzania?
Huyu alikiri na kinywa chake kwamba alipimwa na akapatinana na corona. Mbona ubabisha?Kwani vifo vya corona kwenu vimeanza leo au tuseme yusuf haji kafa na corona?? Kwann munaimgilia vitu haviwahusu wakat vya kwenu vinawatoa kamasi masikioni
Ushawah kuskia media ya tanzania inazungumzia habari za corona za kenya au za uganda au za rwanda ??? Lini umeskiaWewe ukileta hapa taarifaa za matukio Kenya usiku na mchana inakuhusu nini?
Alipona na akaendelea na kzi za serekali mpaka akaenda chato kuonana na rais na kukagua miradi mwanza ?? So angekua hajapona wangemruhusu kuzunguka?? Hebu tupe majibuHuyu alikiri na kinywa chake kwamba alipimwa na akapatinana na corona. Mbona ubabisha?
Ilani iliyotolewa na nchi husika dhidi ya Tanzania ilikuwa ni kuhusu maambukizi ya corona wala sio ugonjwa wowote ileHuwezi kutoa ilani na huna uhakika wa jambo kwani vifo vimeanza leo??? Mbona kuna maradhi yanaua watu kila siku hamusemi??
Sasa BBC ikiongea mbona unakerwa?Ushawah kuskia media ya tanzania inazungumzia habari za corona za kenya au za uganda au za rwanda ??? Lini umeskia
Huwezi kutoa ilani ya nchi nyingine wakat wewe mwenyewe uharo unakutoka au unafkiri uganda rwanda na nchi zingine kukaa kimya ni wajinga?? Nyie ndio munaakili tatizo lenu nyinyi sisi tunawajua vzr sanaIlani iliyotolewa na nchi husika dhidi ya Tanzania ilikuwa ni kuhusu maambukizi ya corona wala sio ugonjwa wowote ile
Sisi tunaonglea kenya wachana na wazungu hao tunawajua miaka yoteSasa BBC ikiongea mbona unakerwa?
Kwa hivyo ni kweli kuna corona Tanzania?? 😂 😂Alipona na akaendelea na kzi za serekali mpaka akaenda chato kuonana na rais na kukagua miradi mwanza ?? So angekua hajapona wangemruhusu kuzunguka?? Hebu tupe majibu