Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kamdanganya nani?
 
Tunajua kinachowauma ni utalii, kwa taarifa yenu hatutaacha kuwapiga gap la utalii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi naunga mkono IMF 110% kwamba Kenya iwache expansionary budget regime. Lazima tupunguze expenditure. IMF wapo sahihi.
So ile GDP munayosifia hapa iko wapi inanyea debe sasa😁😁😁😁😁 sasa mushaanza kua na akili
 
Mradi wenyewe bado haujaanza. Waganda wenyewe wanalia na kusaga meno kwa majuto. Wanajiuliza mbona waliamua kupitisha pipeline TZ ilhali kama ungepitia Kenya mradi ungekuwa umeshakamilika?
Mradi ushafika 95% kuanza waganda hawawezi kujuta unajua kwann kwasababi ile pipeline yenu ta lokichar imewatoa kamasi na imebaki stori ya alinacha πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mradi wenyewe bado haujaanza. Waganda wenyewe wanalia na kusaga meno kwa majuto. Wanajiuliza mbona waliamua kupitisha pipeline TZ ilhali kama ungepitia Kenya mradi ungekuwa umeshakamilika?
Ndio maana miradi yenu hua inageuka white elephant si unaona leo SGR imeishia machakani na mchina hamujamlipa bado πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† mumeenda kumpa barabara kwa miaka 30 yani taratibu mchina anawachukua
 
Nimefurahi kwamba expenditure hazitaongezeka tena kwa hivyo budget deficit haitaongezeka. Imf watalazimisha serikali kuwa fiscally disciplined maana serikali ya Kenya haiko disciplined kwenye maswala ya kupanga bajeti
Baada ya IMF kuwapa mkopo wa masharti makali πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… rais mzima aanasimama anasema nchi inaibiwa 2b ksh kila siku alaf nayie munachekelea
 
Ndio kusema wakenya wanaroho chafu bora mambo yaharibike lakini kukopa hawaachi
Wamekwisha sasa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ukiona mkopaji anakwambia nakupa pesa ila wanyukane ndio hapo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…