Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jinyonge na wivu[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28] ama Lia kabisa[emoji1787][emoji28][emoji28]., Kenya inawatesa na bado., ni kionjo tu..,
Yani mtu aumie na iyo copy and paste[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vilaza nyie...
 
Hatuna oneway huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakiombwa streets wanaleta main roads hahahhahahaha sindano ilipofika ulikua huwezi kuitoa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Umekimbia kujificha old town[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji28] mkora wewe, umeishiwa pumzi kabisaa![emoji23][emoji1787][emoji28][emoji28] jiulize mbona wenzako wamekimya?[emoji23][emoji1787][emoji28][emoji28]
kwa kwa kwa so old town wanaishi wanyama au ngamia 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Haya fananisha leo tucheke πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡
Fimbo zimeingia ipasavyo video inainesha zaidi ya dakika 15 akiwa ndani ya gari akikatiza mitaa zaidi ya 100

 
Yaani streets unaita main roads πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜› πŸ˜› Mombasa kweli ni size ya Dar., Thika iko na mwonekano wa jiji kuliko ata hiyo Mwanza yako.., am proving it shortly..,πŸ˜›πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hzi ni streets hebu tuambie 🀣🀣alizopost ni streets au???
Kwamba mombasa hakuna one way street mamaeee🀣🀣🀣🀣🀣 alivoona tumbo joto akaona atafute main roads apost
 
Yaani streets unaita main roads πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜› πŸ˜› Mombasa kweli ni size ya Dar., Thika iko na mwonekano wa jiji kuliko ata hiyo Mwanza yako.., am proving it shortly..,πŸ˜›πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wakat mwanza inaitoa jasho kwenye suburb pamoja na streets hatujagusa bus terminals huko πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜€
 
Pelek ushuz mbalii
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani nimecheka sana leo ananiambia kwann napost za old town wakat hio CBD yao yenyewe iko old town na business yote ya mombasa iko old town πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…