Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vitasa ,na akina Msukuma walioongea bungeni ni Ufipa? [emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Wewe naomba usije ukani quote tena sawa mkuu? Naomba usini quote cz tutavulugana, naheshimu mchango wako ila kiuhalisia naona wewe hulitakii mema taifa, wewe nahisi ni civil servant uliyezoea vya bure bure.
 
Hahahaa!!wabunge wa tz wameanza kujishtukizia..
Sasa sijui huyu ni mpinzani au ni ccm ambae maslahi yake yameguswa
 
Kadri nchi inavyopambana kukuza uchumi kw kutumia vichochea uchumi kw hali na mali basi maisha lazima yawe magumu..
Kwhyo muache kuwaita wapiga dili wanaolalama kuhusu ugumu wa maisha mitaani..

Elezaneni mitaani ya kwamba, kuikuza nchi kw high gear lazima mambo mtaani yabadilike
 
mkiamka naomba maelezo ya hii kitu.. hapa ni kenya [emoji23][emoji23]
Who asked them to live in railway land?[emoji23][emoji23], Development must push them out., ubepari, only the strong survives[emoji123][emoji123][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…