Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Walikuonesha hayo matope [emoji3][emoji3]

Jamii forums bhn atari sn, eti kkoo kuna nyumba za tope alafu wazungu wasione [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwhyo mpaka waone wazungu, ona ulivyokua mpuuzi..hata nimekusonya kw dharau haswa..

Yani hao mabeberu mnaowakejeli leo imekua mpka waseme wao ndio uwaamini, nenda kapinge na data kutoka kwa hao wazungu basi huenda waka kuamini
 
Nilikuwa namaanisha satelite zao zinazoimulika Nairobi iliyojaa slums,

Hawa bila kuwatajia mzungu hawakuelewi hawa mafala[emoji3][emoji3][emoji3]
Kariakoo ina nyumba za tope, watanzania wenzako ndio wamesema..
Sasa na wewe nenda ukabishe..
Mnko hko nawasubiria mje na hyo satelite
 
Yosef Festo jamaa huku keshasema km hzo nyumba zipo lkn zimeshauzwa zinasubiria zibomolewe painuliwe maghorofa na hazifiki 20..

Mshike vizuri huyu nkm ako na data zote za nyumba za tope dar
 
hatuna chakupinga jamaa kapitisha kwamba waswahili ni watu wa pwani it means watu wa TZ bara wao ni waingereza
Nimepitisha ndio uhalisia wa neno lilipotokea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We pinga kw hoja wala sio mihemko
 
Yosef Festo jamaa huku keshasema km hzo nyumba zipo lkn zimeshauzwa zinasubiria zibomolewe painuliwe maghorofa na hazifiki 20..

Mshike vizuri huyu nkm ako na data zote za nyumba za tope dar
hata nilichokiandika haujaelewa,wewe siyo muelewa unapenda mda wote ujaji mambo kimihemko...
hao wanaosema kuwa kuna nyumba za tope wangekuwekea evidence au fuata ile thread waambie wakutumie nyumba hata moja ya tope,,,we karne ujenge nyumba ya tope tena city center inakuingia akilini.....
karikaoo zimebakia nyumba za chini tena nichache tu,,,,.na si za udongo hayo maisha yalishatoka mda mrefu

nyumba ya matope hapo inatokea wapi au zipo ndani ya ghorofa
 

Attachments

  • images (4).jpg
    77.5 KB · Views: 19
Umemaliza mada mkuu🙂
 
Vipi kuhusu kazi kama umeshindwa sema Mzee. Brian unadhani sisi ni mbumbumbu kama nyie!?
😂 😂😂 yaani sisi tunaongelea 6000MW wewe unatuletea 50Mw upo sawa kweli kichwani!?
That is clean energy there is a difference
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…