Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sina muda wakipuuzi mm thread utakayonikuta ni hapa kama unataka hoja njoo hapa hutakaa kusahau [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Basi punguza hasira, unapoana vitu vya kutoka majukwaa mengine usiwe unatoa povu la namna hii..
Maintain tu mate yapite
 
Shauri yako hyo, mi hayo hayanihusu..
ID inayolalama hapa ni ya the best 007[emoji1787][emoji1787] wala sio hzo zingine
Hehehehe unataka nikutajie IDs zangu uone ninavyopelekana na UFIPA?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Basi punguza hasira, unapoana vitu vya kutoka majukwaa mengine usiwe unatoa povu la namna hii..
Maintain tu mate yapite
Huwezi nikuta na hasira kwasababu maisha yangu nimejiekea furaha kwanza 😅😅😅 nyinyi kama mushaona huu mwaka kuna kitu kitawafanya mukose raha sijui muanze kuichukia CCm hio haitawasaidia mark my words 😃😃😃
 
Povu[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji3545][emoji3545][emoji2781][emoji2781]

[emoji1139] => [emoji3545]
 
Yosef Festo njoo uone alivyojibu, yani nje ya box kabisa..
Tatizo unawaogopa weneye hzo comments, manake ukithubutu kwenda kutia hata ukucha hko wanayoyasema hayo wala hutoamini kitakachokukuta
Namuelewa huyo kabisaa, wachana na yeye., nikifika Dar this time round lazima nimjenge afurahie, Kuna mradi wa training flani naona utajipa hivi karibuni kule Dar, deal inaiva, wacha atapetape humu.,[emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Gemstones found in Tanzania
Varieties of gemstones are found in the Proterozoic rock formations mainly east
of the Archaean Craton. Scattered areas in which gemstones are known to
occur west and south of the Craton. The gemstones include:
ruby, tanzanite,
garnets, tourmaline, sapphires, spinel, topaz, scapolite, emeralds, chrysoprase
and alexandrite.
 
Hzo hasira zako nenda ukazimalizia kw hao majamaa wanaosema kariakoo kuna matope.
Walikuonesha hayo matope [emoji3][emoji3]

Jamii forums bhn atari sn, eti kkoo kuna nyumba za tope alafu wazungu wasione [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
So hausubiri tena treni ya umeme [emoji1787][emoji1787][emoji1787] au hutaki kuskia tena habari hzo kwann hzo wivu musiwaachie dada zenu
See your response [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23].what are u smoking?.,[emoji1787][emoji23][emoji23], unatapika chochote kilichomo kichwani mwako, ilimradhi ujibu tu.,[emoji28][emoji1787][emoji23], in communication, kimya pia ni jibu bro.,
 
hatuna utaratibu wa kuificha dar.....ukitaka prove hiyo angalia video za wasanii wetu wanatoa video kwenye mazingira ya uswazi pia hata bongo movie kuna mivie zenye maudhui ya uswazi mwanzo mwisho.....

tupo tofauti na nyie
 
Carbonatites minerals found in Tanzania
The carbonatites are associated with the rift valley system and occur in
northern, southern and central parts of the country. Alteration zones of up to
1.5 km width surround the carbonatites. Minerals hosted in carbonatites
include Rare Earth Metals:
thorium cerium, lanthanum, neodymium,
lanthanum and praseodymium.
 
hatuna utaratibu wa kuificha dar.....ukitaka prove hiyo angalia video za wasanii wetu wanatoa video kwenye mazingira ya uswazi pia hata bongo movie kuna mivie zenye maudhui ya uswazi mwanzo mwisho.....

tupo tofauti na nyie
...drone views mingi mumezifinya sana, kwa wale hawaijui Dar hawatafahamu hilo, the bigger part is embarrassing sana, ata kwa mgeni mara ya kwanza akifika Dar hilo liko too visible, hautafuti unaona tu hali ilivyo, Dodoma ikiendelea na miundo mbinu ambazo wanafauta itawaondolea aibu, Kama vile Abuja in Nigeria, iko tofauti sana ukilinganisha na Lagos, Nairobi slums zimejificha ukiingia mara ya kwanza hauwezi jua wazi wazi, lazima utafute ama uulize. Hapa kwetu pia kwenye cinema na mziki Kuna za Kibera na za sehemu uswazi mingi tu., but Dar is in a world of its own.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…